Unatapeli hadi wanafunzi?

Unatapeli hadi wanafunzi?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Wewe iko siku utakuja sena yote saivi utajiona kidume ila hutomaliza huu mwaka bila kusema ukweli .
Saivi jione unakidhibitisho ila kwa baadae utasema yote.
 
Katoto kazuri uyo jamaa bado anaendelea kuwamega mpaka wanafunzi kwa mkopo bado aiseeee
 
Wewe iko siku utakuja sena yote saivi utajiona kidume ila hutomaliza huu mwaka bila kusema ukweli .
Saivi jione unakidhibitisho ila kwa baadae utasema yote.
Jifunze kuacha liende, mjini shule.. Umeliwa kausha sio kuja kulia lia uku kutafuta sympathy zawatu.. Iyo ni option namba moja
2. Mvae kama humwogopi ila fata process kama unavithibitisho huna kausha
 
Kipindi mnaanza hamkuleta huku malalamiko saivi mshachezewa mnapiga kelele
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya chacha!
 
Back
Top Bottom