Mara nyingi utawasikia wanawake wakilalamika kwamba,wanaume wakishawatumia na kuwachoka wanaachwa,ikiwa kile kitendo ni raha kwa wote wawili kwanini mmoja aseme anatumika?
Mmekuwa marafiki kwa...
Wakuu nimenasa kwa huyu mrembo Yan kavaa mishanga kibunda afu ana ngezi Kama zote, yaani kwa mahaba nami nikavaa shanga moja Ili twende sawa afu shanga yenyewe ina kengele ,yaani miuno feni...
Mtoto akifika umri wa miaka mitano michezo uongezeka, apa mtoto ujaribu kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja, utokomea nyumbani Na asionekane adi jioni , awezi kujali mda wa Kula yeye Na michezo...
Wewe ni senior bachelor niliyebahatika kukupenda. Mpenzi Rrondo tusipoteze muda njoo tuyajenge. Maisha ni mafupi na kulea mtoto ni mpaka agile angalau 25 amemaliza degree ya kwanza ndiyo...
Ni rahisi sana kupata visa ya kwenda Canada kuliko kumpata wife material!
Kwa wale waliowahi kuomba visa za Canada wanajua ugumu wake!
Kitu kinachosikitisha hasa ni kwamba hata kanisani...
Ni hivi wandugu
Kuna jamaa wetu hapa amejikiuta kwenye matatizo makubwa kifamilia.
Chanzo ni kwamba amempenda mdogo wa mke wa kakayake (kitamaduni zetu ni shemeji yake) huyu binti...
Tunajua kuwa kuna michuano mikali inaendelea kule misri ya kombe la Afrika
Lakini unaweza ukakuta mwanaume huwa hana interested na mpira, maana ukimchunguza mechi za jioni huwa haendi,ukiangalia...
===UPDATES==
Yametimia...lakini haikuwa rahisi sababu alisema hanywi pombe halafu ana mitihani kuanzia tarehe 8 Julai hivyo hantokaa sana anakwenda kujisomea.....nikambembeleza sana akakubali...
Poleni Kwa mfungo ndugu zangu waislamu huku wakristo mkiendelea kula mema ya nchi mchana kweupe!!!!!!
Usiku wa Leo nimetoka kumfukuza classmate wangu wa kike akalale kibarazani kwakuwa mimi ndio...
Upendo ni Udhihirisho wa Thamani ya kile kinachopendwa.Mathalani,Unaposema unampenda mtu basi utadhihirisha waziwazi kwa kuonesha huyo mtu ni wa thamani kiasi gani kwako.
Hata hivyo kuna "Upendo...
[emoji252] ..Kwa Maneno Haya Lazima Akusamehe..
[emoji420]..Usiniache kwenye Dunia ya maumivu,usiniache kwenye mvua ya sononeko, njoo unirudishie tabasamu kwenye maisha yangu. Njoo unibusu na...
jamaa yangu leo npo nae maeneo flani hapa town tunapga story et ananiambia wanawake wenye chunusi wana ladha na joto sana kuliko wanawake wengne eti nikweli?
au anajiwekea difence mechanism mana...
Kama kichwa kinavyojieleza. Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa, yupo chuo anamaliza mwaka huu wa tatu.
Kiukweli nampenda sana na sitarajii kuwa na mwanamke mwingine. Lakini hivi...
Hbr wakuu,
Nimerudi tena, baada ya kutanga na dunia nikakutana na mkaka mmoja tulikuwa marafiki kwa muda usiozid mwaka, jamaa huyu alikua ananitaka basi baada ya kumsumbua sumbua mwisho wa siku...
Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni na hasira sana moyoni
Ingawa siamini masuala ya nguvu za giza, ila haya maneno neno ninayoyasikia yananitia hasira sana
Na nikikumbuka mazingira ya nyuma ya...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu!
Ninaandika nikiwa na akili timamu na kujiamini kuwa mume au mke anapatikana popote panapokutanisha watu hata mitandaoni.
Niseme kweli kwasisi...
Sasa hivi ni kama mwezi wa tisa mke wangu hana hamu na mimi kabisa.
Tunaweza kaa hata week mbili hataki kusex hadi atake yeye na hapo ndio huwa simuelewi maana huwa namfikisha vizuri tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.