Skii skiiiiii
Ohhooooo mtaani wananiita messi jinsi ninavyotiririka! It's me agaaain comrade kipepe a.k.a kipepe the giant! A.k.a KING OF THE JUNGLE! a.k.a mshambuliaji wa BUSH FC"!!
Ebanaae Nina...
Ohhoooo
Ni comrade tena ndani ya JF, nipo hapa leo kuwapa heko wanawake na madem wote aseee!
Bila nyinyi dunia hakuna! mnatufulia, mnafanya usafi wa nyumba, mnatupikia, mnalea familia, kiukweli...
Wakuu,
Baada ya kutembea na wanawake mbali mbali, Siku moja nilijikuta natafakari kuwa ni kipi hasa nilichofaidika nacho kutoka kwa hawa wanawake ? Jibu liliuwa moja tu ni hakuna cha maana...
Inasikitisha sana kuona wanaume wanaonunua papuchi kwa ajili ya kupata huduma inazidi ongezekaa daily. Sasa tatizo ni suala la uchumi au tatizo ni hawa dada zetu ambao wametugeuza kama mitaji...
Iv wale wanawake waliokua wanalia na kutupiga makofi mgongoni kua tunawaumiza wakati wa kuwagegeda mpaka wakienda kujisafisha bafuni wanachechemea wako wapi??
Kauzi kembamba tayari!
Hapo awali msimamo wangu ulikuwa kwamba nitaacha pombe endapo tu:
1. Nimeshauriwa na daktari kwa manufaa ya afya yangu.
2: Nimeishiwa kiasi kwamba kununua bia unakuwa mzigo mkubwa
Nilishawishiwa...
Kwa niaba ya wanaume wote wanaonukia vizuri na kuvaa vizuri nawasilisha hili
Leo nikiwa tumesimama na mdada sehem hivi tukiwa tunangoja Huduma za kawaida za kijamii basi akawa ananishangaa sana...
tulikuwa tumesafiri kikazi nchini flani mwaka jana kwa training ya mwezi mmoja. mwezi ni muda mrefu sana kwa binadamu. mimi bahati nzuri kampuni yangu sababu ni ya kimataifa walinifikishia hotel...
Dah siku hizi maisha yamekuwa maisha yaani unaweza usipate hata mwanamke wa kumtia mimba akuzalie mtoto.yaani wanawake wanacheza kwa step sana.wanawake wamejitambua kiasi Cha kufikia wanaozaa...
Ukienda kumtembelea dada yako aliyeolewa katika maongezi akakuonyesha makovu na akasema shemeji yako huwa ananipiga.Nashindwa kuachana naye sababu ya watoto"
Utafanyaje??
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 70 katika jiji la Kansas nchini Marekani aliyepora bank kwa makusudi ili afungwe na kukaa mbali na mkewe, amepatikana na hatia na kuhukumiwa kukaa nyumbani miezi 6...
Natafuta rafiki wa kiume kwaajili ya kubadilishana mawazo.. Am not single
Napenda awe rafiki ambae anaexperience na maisha hasa utafutaji pesa na Mahusiano.
Habari wana jf
Kuna huu utafiti uliofanywa na wataalam ikiwa ni katka kujua sababu ya tatizo linalozidi kukua kla sku la upungufu wa nguvu za kiume mambo ni mengi yanayoweza kusababisha shida hiyo...
Habari....Ikumbukwe nilikuja hapa nikilalamika kuachwa na wengi walinishauli mengi ,wengine wakisema nikae kimya , wengine wakisema mashauli mengi kimsingi, and nilichagua kuwa kimya .
Naomba...
Nimekuwa najikuta nawapenda madem wa rafik yangu mmoja. Nikiwatongoza huwa hawakai and I have dated most of them. Tabia yangu hii mbaya naona inataka kukomaa naombeni ushaur jaman nifanyaje ili ikome?
Mrembo mmoja nchini Zambia amemwambia mumewe kuwa,yupo tayari kuachana nae kama hatafuta shauri mahakamni kuhusu nabii ambaye mumewe amempeleka mahakani kwa kosa la kupapasa maziwa ya mkewe pamoja...
King of the jungle! The one and only! Kipepe comrade nipo hapa tena Leo mbele ya upeo wa macho yako!
Ebanaaae wanawake wenye matege ni noma, wanasifiwa sana huku mtaani.. Yani utamu wao...
Ee bwana ee, inakuadje wadau, katika ulimwengu wa sasa watu wamekuwa wakidhani pesa ndo silaha tosha katika mahusiano, swali linakuja je? Kama mfuko hausomi itakuwaje? Usiwe na wasiwasi suluhisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.