Ndoa ni taasisi

Ndoa ni taasisi

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,212
Reaction score
16,433
Oohhoooooo!
One more time!
Mic check one two!
Itz me agaaaain!..

Wananiita comrade a.k.a NANGABOY! A.k.a CHUMA!

Warembo wanapenda kuniita DR.LOVE

Kwa moyo mkunjufu, uadilifu na uaminifu mkubwa, nakuja mbele yenu wanabodi.

Aseeeeeee!
Ebbanaaeeee!

Ofsaaaaaaa!

Asee ndoa ni kama taasisi, lazima kuwe na uongozi, uongozi usiolingana, hata taasisi nyingne kunakua na MANAGING DIRECTOR (MD) na kushuka chini mpaka level za wafanya usafi, soooo... Katika NDOA lazima apatikane wa kuwa juu na mwingine chini!

Ebana! Wewe kama ni mke au mume lazima mmoja wapo awe juu mwingine chini ili mambo yaende!

Asseeeee! I mean lazima mmoja awe falaaaa mwingine mjanjaaa.

Mimi kipepe kama kipepe nikiingia kwenye NDOA kama mkewangu atakataa kua chini basi mimi kwa ustahimilivu mkubwa nitaamua kuwa boya, hata wife akitaka nimfulie Vyupi vyake nitafanya hivyo, hata majirani wakinisema nimewekewa dawa a.k.a LIMBWATA Mimi sitojali!


Aseeee!


Wayaaaaaaaaa!

Kipepee yuleeeeeee katuachia vumbi tuuu!


62227941_2333478220199100_8545661820004728832_n.jpeg
 

Attachments

  • DSC_0180%252B(2).JPG
    DSC_0180%252B(2).JPG
    45.2 KB · Views: 25
Hii ni taasisi inayopata mashambulizi toka kona zote za dunia.

Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke/wanawake kama mume na mke/wake. Kinyume na hapo hakuna ndoa.
 
Back
Top Bottom