Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,613
- 2,259
Humjui hakujui, si rafiki wala si jamaa, ndio mara ya kwanza kumuona isitoshe kila mmoja na safari yake, unaanzaje kumpenda!?
Naanza kumpenda pale vigezo vinapoanzia na haijalishi hata iwe kwanza ndio tumeonanaHumjui hakujui, si rafiki wala si jamaa, ndio mara ya kwanza kumuona isitoshe kila mmoja na safari yake, unaanzaje kumpenda!?
Naanzia nilipomkuta kwenda mbele.
[/QUOTEInaweza kuwa mbele kwa mbele,tahadhari inahitajika mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo hapo sioNaanzia nilipomkuta kwenda mbele.
Alaa kumbe mtoto mwenzangu upooo!?Ukikua utajua
Naam, na anakapofikishwa hukohuko anadandia mwengine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo hapo sio
Ukikua utajua
hivyo vigezo umevipima muda gani na ndio kwanza umemuona na kila mmoja na safari yake? kwa mfano umemuona kwenye daladala, au ngomani au imetokea anapita tu mahala ulipo.Naanza kumpenda pale vigezo vinapoanzia na haijalishi hata iwe kwanza ndio tumeonana
Nipe elimu mkuu.Muonekano huwa unazungumza kwanza kabla ya sauti yako/yake.........ukikua basi haya utayaelewa na hayatakupa shida
Na bahati haiji mara mbili!?Tunaiita love at the first sight
Naam, mtu makini. asante mkuu.Naenda kwao nikishaona ananivutia kuongea na wazazi wake
elezea kidogo mkuu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Humjui hakujui, si rafiki wala si jamaa, ndio mara ya kwanza kumuona isitoshe kila mmoja na safari yake, unaanzaje kumpenda!?
Zingatia hayo machache kwanza ukishakua basi mengine utayafahamu taratibu tuNipe elimu mkuu.
Basi sawaAlaa kumbe mtoto mwenzangu upooo!?