tulikuwa tumesafiri kikazi nchini flani mwaka jana kwa training ya mwezi mmoja. mwezi ni muda mrefu sana kwa binadamu. mimi bahati nzuri kampuni yangu sababu ni ya kimataifa walinifikishia hotel...
Dah siku hizi maisha yamekuwa maisha yaani unaweza usipate hata mwanamke wa kumtia mimba akuzalie mtoto.yaani wanawake wanacheza kwa step sana.wanawake wamejitambua kiasi Cha kufikia wanaozaa...
Ukienda kumtembelea dada yako aliyeolewa katika maongezi akakuonyesha makovu na akasema shemeji yako huwa ananipiga.Nashindwa kuachana naye sababu ya watoto"
Utafanyaje??
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 70 katika jiji la Kansas nchini Marekani aliyepora bank kwa makusudi ili afungwe na kukaa mbali na mkewe, amepatikana na hatia na kuhukumiwa kukaa nyumbani miezi 6...
Natafuta rafiki wa kiume kwaajili ya kubadilishana mawazo.. Am not single
Napenda awe rafiki ambae anaexperience na maisha hasa utafutaji pesa na Mahusiano.
Habari wana jf
Kuna huu utafiti uliofanywa na wataalam ikiwa ni katka kujua sababu ya tatizo linalozidi kukua kla sku la upungufu wa nguvu za kiume mambo ni mengi yanayoweza kusababisha shida hiyo...
Habari....Ikumbukwe nilikuja hapa nikilalamika kuachwa na wengi walinishauli mengi ,wengine wakisema nikae kimya , wengine wakisema mashauli mengi kimsingi, and nilichagua kuwa kimya .
Naomba...
Nimekuwa najikuta nawapenda madem wa rafik yangu mmoja. Nikiwatongoza huwa hawakai and I have dated most of them. Tabia yangu hii mbaya naona inataka kukomaa naombeni ushaur jaman nifanyaje ili ikome?
Mrembo mmoja nchini Zambia amemwambia mumewe kuwa,yupo tayari kuachana nae kama hatafuta shauri mahakamni kuhusu nabii ambaye mumewe amempeleka mahakani kwa kosa la kupapasa maziwa ya mkewe pamoja...
King of the jungle! The one and only! Kipepe comrade nipo hapa tena Leo mbele ya upeo wa macho yako!
Ebanaaae wanawake wenye matege ni noma, wanasifiwa sana huku mtaani.. Yani utamu wao...
Ee bwana ee, inakuadje wadau, katika ulimwengu wa sasa watu wamekuwa wakidhani pesa ndo silaha tosha katika mahusiano, swali linakuja je? Kama mfuko hausomi itakuwaje? Usiwe na wasiwasi suluhisho...
Kilichonileta humu ni kutoa langu la moyoni kwa yeyote ambae nafsi yake itaguswa na hitaji langu. Natumaini ninayo haki kikatiba, kidini na kijamii kuchagua aina ya mwenza ambaye nafsi na moyo...
Tukiwa kwenye maandalizi ya msimu huu wa sikukuu za Noeli na mwaka mpya.
Ningependa kumpata binti/mwanamke mmoja aliyeumizwa sana na mapenzi kiasi cha kuyakatia tamaa. Nami nitamuonesha kwamba...
Mama mmoja alitupigia simu toka UYUI akitoa taarifa juu ya binti yake (Nancy (13), sio jina lake halisi) ambaye baba yake alitaka aolewe ingawa alikuwa amefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya shule...
Habari za siku wana JF wote,
Kama kichwa cha mada kinavosema,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika, kuna baadhi ya wanawake huwa wako tofauti sana yaani yeye kila siku umuombe wewe utamu...
Kamwe usiruhusu vitu au watu kukuumiza moyo wako kila muda.
Maisha ni mafupi mno kuwa na huzuni kila mara. Kila siku mpya inayokuja ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hivyo basi, ishi huku ukifurahia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.