Hivi ni kweli kuna watu wenye gundu?

Hivi ni kweli kuna watu wenye gundu?

jacksonyy

Senior Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
116
Reaction score
183
Niende moja kwa moja kwenye mada niliwahi sikia kuna baadhi ya wanawake ukishakua nao kwenye mahusiano mambo yako yanaanza kutoenda sawa na kama unabiashara inaanza kushuka

Wakati mwingine hata watu mliokua mnapatana mnaanza kugombana na kufarakana. Anyway sijui kama kuna ukweli wowote ila watu wengi nimewasikia wakilalamika juu ya jambo hili.

Karibu tulijadili hili
 
Niende moja kwa moja kwenye mada niliwahi sikia kuna baadhi ya wanawake ukishakua nao kwenye mahusiano mambo yako yanaanza kutoenda sawa na kama unabiashara inaanza kushuka...

Wakati mwingine hata watu mliokua mnapatana mnaanza kugombana na kufarakana. Anyway sijui kama kuna ukweli wowote ila watu wengi nimewasikia wakilalamika juu ya jambo hili.

Karibu tulijadili hili

Wapo, tena ni wachawi kishenzi, wanashinda kwa waganga tuuuu!
 
Ni kweli mkuu ipo iyo unakutana na demu kumbe kabeba linuksi lake mwezi mzma uingizi hata mia
 
Duh aisee ni kweli kabisa nishasikia sana iyo kitu
Tatizo wanawake dawa nyngi,,

Tena akikaa na bibi zake anaambiwa usione nimeishi na babu yako mda mrefu,, lazima ufanye moja mbili tatu,,
.
Unategemea nn,,

Omba Mungu tu ndugu
 
Shida inakuja umekutana na demu na unataka kula mzigo bubaa chapi unajikuta asubui dili zimebuma hali tete
Pesa haikai kabisa,, yaaani inabidi na sisi wanaume tujiangalie mara mbilimbili,, tune yunauliza waliotutangulia
 
Duh aisee ni kweli kabisa nishasikia sana iyo kitu
We umesikia? Mm imenitokea mkuu kabisa,, Baada ya Mambo yangu kuniendea kombo,, nikawa sieleweki kabisa,, mda wote unamuwazie yeye tu kumtatulia mambo, alafu yangu napeleka mbele,, weeeeeeeeeeeeeee usiombe ikukute,, ila nashkuru now nimechomoa ile Misumari,, hii sayansi ipo kabisa ila kuamini ni ngumu sanaa,,
 
Duh hatari faya mzee, aya mambo kuamini ni mpaka yakukute lakini kwenye hali ya kawaida ni mpaka yakukute ndio utaamini
We umesikia? Mm imenitokea mkuu kabisa,, Baada ya Mambo yangu kuniendea kombo,, nikawa sieleweki kabisa,, mda wote unamuwazie yeye tu kumtatulia mambo, alafu yangu napeleka mbele,, weeeeeeeeeeeeeee usiombe ikukute,, ila nashkuru now nimechomoa ile Misumari,, hii sayansi ipo kabisa ila kuamini ni ngumu sanaa,,
 
Muhogo mchungu anakwambia unaweza kulima shamba ukapanda mahindi bangi ikaota shamban kwako ukafia jela
 
Tatizo wanawake dawa nyngi,,

Tena akikaa na bibi zake anaambiwa usione nimeishi na babu yako mda mrefu,, lazima ufanye moja mbili tatu,,
.
Unategemea nn,,

Omba Mungu tu ndugu

Hii kitu inawezekana maana ogopa sana kitambaa dem anakufutia ukishafanya mafyekeche alafu anaenda kufua kwao[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom