Hili ni tatizo au kuna mtu anakua na hali kama hii???

usy

JF-Expert Member
Jun 1, 2019
209
162
Habari wana jamvi..! natumai muwazima wa afya..
Naomba kushare na nyie hii hali ili nipate ushauri kama ninamatatizo au ni hali ya kawaida,
Watu wengi wanalalamika kua washawahi kuteswa/wanateswa na mapenzi ( kufikia hata hatua ya kuchukua maamuzi magumu, kujiua n.k) lakini mimi hii hali haijawi kunipata hata siku moja ( japo nimepita katika relationship kadhaa).
sijawahi kulia wala kuhudhunika au kuumia kwa namna yoyote ile katika mapenzi hata inapotokea nimeachana na mtu ambayo nilikua nampenda zaidi, yaani kiufipi maumivu ya mapenzi siyajui kabisa..
Napata wasiwasi kwamba baadae nikioa hii hali haitakua na madhara kwangu na kunifanya nipuuzie hata vitu vya kijinga atakavyofanya mke wangu kisa tuu siumii??
naombeni ushauri nini nifanye/ au kama watu wengine wanakua na hali kama tangu??
 
Wewe sio mpenzi ni shabiki wa mapenzi

hakuna tatizo ila kama sijakosea ulisahwahi kuumizwa kabla so ukaamua kujicontrol...ila kama iko hivo jitahidi sana ndugu utengeneze hilo gapliwe kubwa zaidi maana you never know whats coming next
 
siwezi sema nishawahi kuumizwa au kutokuumizwa, kwani ninachojua sijawah kuumia kwenye mapenzi na hua napuuzia sana kitu chochote kinachotokea katika maisha yangu ya mahusiano
 
Mimi hata maumivu siyajui pia manake sijawahi kuwa na mwanamke mmoja. Yaani na cheat mwanzo mwisho hayo maumivu yatatokea wapi.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
  • Thanks
Reactions: usy
zaidi ya 23
We mtoto tena nenda kalale haraka sana... unakuja kupiga kelele hapa wakati umetomba mademu 4 tu??
Mbweha wewe... SUBIRI USOMESHE... AFU AKUTEME... TUMIA BOOM VIZURI USIJE UKAJIUA HAPA..
 
dah kwenye kutumia boom nishatoka mzee.. hiyo ya kusomesha aisee haitatokea
 
mkuu unataka kushauriwa uwe unaumia kisa mahusiano ama wataka ushauri waniniii?
 
Back
Top Bottom