Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26..
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, wanajamii forum naomba tujadili hii mada ilipo mezani kwa wakati huu. Kwamba, Kwanini siku hizi vijana wengi wanadate na wanaume/wanawake walio wazidi umri? Karibuni sana.
1 Reactions
65 Replies
8K Views
ZIJUE AINA MBALI MBALI ZA WAKE 1.Mke sherehe (party wife) Hawa muda wote wanawaza sherehe na starehe tu, utawasikia kesho sendoff mara kitchen party . Wako tayari kutumia hela ya chakula kwa...
8 Reactions
31 Replies
8K Views
Aslaam Aleikyum Ndugu zanguni....Natumai mko wazima kabisa....Direct to e' Point,,Ebwana wee kuna jimama flani apa Kijenge Juu Ni Mbulu/Mu'Iraq akiongea kama Katarina wa Karatu sijui ni...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Wana jf msaada., Mm ni msichana naomba ushauri na msaada wenu waungwana.mm nikishiriki tendo na mpenzi wangu naumia sana.Maumivu nimakali hvy nakua napaki na manyegenzi yng sina jinsi. Kejeli...
1 Reactions
84 Replies
10K Views
1.Nguo za kubana Mwanamke anaependa kuva nguo za kubana mno,na ambae anapenda kuonyesha maungo yake ya ndani,huyo ni kama moto wa petrol,hutaweza kumzima,atajizuia kidogo halafu atafungulia...
14 Reactions
165 Replies
24K Views
Unakuta mdada unamahusiano nae kukutana ni bar halafu unategemea ndoa hata hamjuani mnapokaa. Men ndio kazi yake kukutafuta hata mkiwa mmegombana hamna mda wa kumtafuta kusuruhisha. Kukupigia au...
1 Reactions
8 Replies
667 Views
Dereva tex mmoja alinisimulia kuwa kuna tabia chafu ya watu wanaojikalisha kwenye reli mida ya usiku hasa maeneo ya Banana , Mombasa mpaka Gomz (na Ndani ya Magari yaliyopaki kiholela holela)...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Napenda kuwapa darasa ndugu zangu ambao wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni au mwakani nila kuangalia kama unaoa au unaolewa. Ndoa ni jambo zuri sana na hasa likiwa lina baraka za wazee wa...
2 Reactions
8 Replies
958 Views
Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake...
6 Reactions
122 Replies
14K Views
Moja ya ukweli ambao lazima uukubali ni kuwa si kila mtu atakuwa na wewe Muda wote wa Maisha Yako. Kuna watu utakuwa nao karibu sana leo lakini utashangaa kesho mnapoteana, Kwa Nini...
15 Reactions
52 Replies
5K Views
Salaaam Sana. Ama baada ya Salam Naomba kufahamishwa Jambo hili kwa anayefahamu. Katika mikutano /ziara / hotuba za RAISI wetu wa Jamhuri ya muungano Kuna walinzi weengi ambao humzunguuka. Ila...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo sisi ni wazazi wa watoto wetu lakini jana tulikuwa watoto wa wazazi wetu. Tutafakari jana yetu na leo yao! Kipi unaona wazazi wako walifanya kwako lakini wewe hufanyi kwa wanao au wanao...
16 Reactions
99 Replies
7K Views
Eeebanae! Ni ukweli usiopingika, wanawake warembo, wengi wao wanapigwa na kuachwa tuu, au wanazalishwa na kuishia kua masingo mother. Hii ni kwanini? Utakuta mtu anaoa mwanamke mpaka...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Dah! Napoteza mademu wengi kisa kupambana na maisha. Kila demu nayempoteza kisu na anatabia nzuri, nakata mausiano Mimi, sijui nimerogwa. Kila mission inakua impossible halafu w wansjilengesha...
1 Reactions
5 Replies
569 Views
Matukio ya wanandoa kuwaua wenzi wao au kuwafanyia ukatili wa kutisha, yanazidi kuongezeka. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na matukio mengi ya mume kumuua mke, mke kumuua mume au...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeona msichana mmoja anasema ametembea na wake za watu. Swali ninalo jiuliza. Hayo mapenzi yanafanyiakaje wakati wote ni wanawake. Kwa maana kwamba wote wana papuchi (vipochi). Ninavyo jua...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
MIPANGO Mwanaume anayekupenda atakushirikisha kwenye mipango yake hasa ya muda mrefu. Mfano akitaka kununua kiwanja, kujenga nyumba atakuambia na pengine kutaka mchango wako wa hali na mali...
16 Reactions
54 Replies
13K Views
Wadau kuna haka katabia ambako sikapendi kwa mpenzi wangu. Mnaweza mkawa mnaongea kwenye simu, akapigiwa simu na rafiki yake akakuweka hold mpka amalize kuongea na rafiki yake Au mnaweza mkawa mko...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Hakika baada ya drama alizoleta zari kwenye Mashindano ya Umiss kule uganda sasa naamini mwanamke anahitaji Ndoa sana kuliko Vyote... Kimsingi wanaume huwa tunatimiza ndoto za wanawake tunapofunga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…