Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna wangapi wako kama mimi ? Kiukweli hayo ndio mambo ambayo vijana wa sasa wako very overwhelmed nayo. Ni ngumu kukuta kijana mmoja kati ya watatu hahusiki nayo. Je, kuna wangapi wako hivi ?
7 Reactions
133 Replies
12K Views
Umofia kwenu wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, hivi ni kweli wawili wakifunga ndoa hawapaswi kuachana mpako pale kifo kitakapochukua nafasi yake!? Na hii ni hasa kwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wenzangu habari bwana, Mapenzi mapenzii yanahitaji ubunifu Na ujanja, kwanza ukitaka kuya mantain mapenzi yako uwe muongo yaan si uongo mbaya hapana ule wa kukuokoa mazingira uliyobanwa Na...
19 Reactions
292 Replies
35K Views
Nawapa hii password. Wanawake wanakereka sana, pale inapotokea ni mkeo au mchepuko wako, (ngoja ni base kwa mchepuko). Siku hiyo mwanaume umejitutumua umelala na huo mchepuko, yaani mmeamua...
16 Reactions
99 Replies
10K Views
Tuwe wakweli kabisa hasa madada zetu najua wengi hamuwezi kwenda kujipanga pale jolly, au corner bar au mwanamboka, najua wengi wenu hamuwazi kukubaliana elfu 5 kwa fupi time. Ila wengi...
34 Reactions
250 Replies
27K Views
Kuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kuna dem nawasiliana nae huu mwezi wa pili sasa yupo huko mtwara kijijini,kwahiyo hana smart phone huko ni mwendo wa vitochi tu, ila nikimuuliza aniambie yupoje ananiambia anamshukuru mungu...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama unajijua una hizi sifa kiuhalisia nakukaribisha.... Mcha Mungu sana na unaishi Kimungu na una Hofu nae Kipaumbele chako siyo Hela, Mali au Kazi kubwa kwa Mwanaume bali ni Utu, Uaminifu na...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu JF.! Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni. Kuna sister mmoja aliniomba urafiki fb, nami bila kujivunga nikamkubali na kuanza kuchati nae inbox. Baada ya...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
wana jf yamenikuta kuna mwanamke nina mahusiano nae hela ya kula nampatia inshort majukumu yote ambayo anaitaji nampatia sio mchoyo kwake cha ajabu kuna kauli kaongea sijaipenda mpka saiv...
1 Reactions
103 Replies
10K Views
Jamani wanaume wa Dar huwa nawakubali sana kwa mapenzi motomto na kwa mautundu yenu sita kwa sita na ninapowakubali zaidi, sio wabahili kwenye pesa, mkiamua kuhonga mnatuhonga kweli wapenzi wenu...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge. I have a passion for teaching. I’m...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
TO ALL VIRTUOUS WOMEN. A WOMAN THAT WANT TO ENTER HEAVEN! THE BRIDE OF CHRIST! -Avoid any clothe that reveals your shape. -Avoid Any skirt that reveals your shape. -Avoid Any top that reveals the...
0 Reactions
3 Replies
769 Views
Basi juzi nilikuwa na pita bhana kuelekea shule akatokea kijana mtanashati nikasema loh ni viben ten au nini kidogo akawatu amuita ni kasichana fulani kachotara . Baby baby yule kaka akasema what...
3 Reactions
77 Replies
8K Views
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa, Sisi wana-JF ni familia,tunaweza kusaidiana kwenye shida kama vile ugonjwa,misiba na hata kwenye mambo mengine ya kifamilia Nimerudi kwenu tena kwa mara...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Huyu demu kila siku kama mwezi sasa nampa lift kwenda kazini. Jumamos iliyopita nikaona nimweke usawa wa kuelekea Qiblah. Akakaa...mchana tumetoka job nikapita naye Hotel moja ipo Kariakoo Mtaa wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi nipo dar na nahitaji mwanamke mwenye umri wa miaka 25 hadi 60 kwa mahusiano ya dhati. Umri wangu ni miaka 49 na nipo serious with a true love tuwasiliane kwa namba 0784615578.
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa. Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila...
10 Reactions
189 Replies
17K Views
Utafiti unaonesha kuwa wale wanandoa wanaovaa sare, mara nyingi nguo za vitenge, mwenye sauti kwenye ndoa hio ni mwanamke. Mimi binafsi siwezi kuvaa sare sare na mke wangu. Je utafiti huu una...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Dear Ladies My problem with some of you is that after you finish destroying your self,sleeping with different types of men with different d!*k sizes, Tomorrow, you get married to one innocent...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom