ZIJUE AINA MBALIMBALI ZA WANAWAKE

Abdul mrope

Member
Jul 6, 2017
37
79
ZIJUE AINA MBALI MBALI ZA WAKE

1.Mke sherehe (party wife)
Hawa muda wote wanawaza sherehe na starehe tu, utawasikia kesho sendoff mara kitchen party .
Wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajili ya kuchangia sherehe.

2.Mke kamusi (dictionary wife) Hawa ni aina ya wanawake ambao huamini mawazo yao tu huwa hawapendi kushauriwa na ni wabishi sana ,huwa hawajali hata mme wake anasema nini.

3.Mke pampas (pampas wife) Hawa ni wavivu sana na wamearibiwa na familia zao hasa familia tajiri, hawawezi fanya kazi wanatuma hovyo hata waume zao utasikia baby nipe hicho ,baby njoo unitolee hiki
Kama kuna house girl au boy ni zaid ya punda kwao.

4.Mke ofisi
(The office wife) Hawa husahau kabisa majukumu yao kwa kisingizio ya kazi ,wanajifanya bize muda wote kuwa bize na majukumu ya kiofisi kuliko haata familia hasa mme mara nyingi hawa wanaibiwaga waume zao na mahouse girls.

5.Mke mgonjwa
(Sick wife)
Hawa muda wote ni wachovu na wanyonge ,utasikia akilalamika kuumwa huku hawaendi hospitali .
Na wanalawama kama nini usiombe ukutane naye utajuta.

6.Mke mwalimu mkuu
(Headmistress) Hawa ugeuka vilanja ndan iya familia hata mbele ya mme wake anajifanya muelekezi tu na huuliza maswali kwanini hii hivi mara hicho hivyo pasipo kujali kuna nani hata kama kuna mgeni.

7.Mke ngumi
(Fighting wife) Hawa muda wote ni wavarangati na akiamua kulianzisha huwa hawaangaliii mazingira na ataongea bila mipaka na kama unaishi uswazi kila jilani lazma atajua kumeharibika, yuko ladhi kukunjana na mume wake.

8.Mke Ndoo ya taka
(Dustbin wife) Hawa huwa wachafu kupita kiasi hawajali hiki cha thamani au vipi ,utamkuta mchafu muda wote ni mara chache kutokelezea labda kwenye sherehe. Mara nyingi waume zao wanawakinai mapema.

9.Mke mlinzi
(protective wife) Hawa huwabana waume zao mpaka kero,hujifanya wana wivu ,wanawaona wanawake wote kama maadui na hawataki hata kuona rafiki yake akiwa karibu na mume wake.
Anahisi anaibiwa ukirudi nyumbani badala ya kupokea mzigo mkononi anakupokea simu ilioyoko mfukoni .

10.Mke mzuri
(Agood wife)
Hawa ndo wale walioandikwa kwenye
MITHALI 31 na vitabu vingine vya ndani Ya Biblia, hawa ni wapole wanyenyekevu , wasikivu hata kama amekosewa anatumia busara kulitatua tatizo,
Hawa si wengi sana katika dunia ya leo.
Mungu wabariki wanawake wote walioko namba 10 kama hawajaolewa wajaalie wapate waume bora.
 
hii no 3 tatu ni shida
 
Hao namba 10. Walishapoteaga toka enzi zile za Vita vya kagera mkuu hawapo siku hizi
 
Mke chiriku
Huyu ni Mke muongeaji sana yaani ukikosea kidogo tu ataongea usiku kucha kama kafungulia redio
 
Jinsi ambavyo vitu vizuri huwa adimu, na upatikanaji wake huwasi rahisi. Na kwasababu ni vizuri hata waharibifu huvigombania wavipate na kuvitumia vibaya au kuviharibu.

Nina mifano mingi sana, wake aina ya namba 10 huwapata waume wa hovyo sana, walevi, wasiojua mapenzi wala kubembeleza, wafujaji, makatili n.k.

Sababu aina ya wake hawa ni watiifu hujikuta wanavumilia hadi mwisho ndo pale unashangaa..... Mwanamke mme wake ana kila aina ya kadhia ila bado yupo..... ni wavumilivu sana ILA.... Baadhi yao wakifika ukomo wa kuvumilia hufanya maamuzi magumu ya kuondoka kwenye ndoa na kuanza maisha mapya.

Mleta nada umetusahau wanawake maseja tulio kwenye mahusiano ila ndoa ni msamiati kwetu.

Kasie Mahaba Matata.
 
Kwamba bi kasie dadii hajaamua kukuweka ndani jamani ?
 
Kwanza tunaishi mbalimbali kutokana na asili ya kazi zetu, ila tunakaribia kustaafu hivyo nadhani wote tukiishi mji mmoja tunaweza kuridhia kupinga pingu za Mahaba....

Badoo kutokana na maelezo hapo juu...

K' Matata.
 
Back
Top Bottom