Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika mambo ambayo wanaume tunakosea ni kutaka kumpa hela mwanamke hata ambazo hatuna uwezo wa kuzipata.. Yani ukiona mwanamke anakwambia nataka laki 5 na anajua kabisa wewe uwezo wako ni elfu 50...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kwenye mapenzi usipokuwa makini unaweza kumpoteza mwenye mapenzi ya kweli kwa kumkumbatia mjinga mmoja kwa kujidanganya et unamvumilia atabadilika.... wakati hakuna hata kimoja alichokuambia cha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nimeboeka sana Leo! Club gani hapa mjini nitapata mapenzi mubashara mida hii ?
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Katika kitu sijawahi kuwa na Utani nacho ni ule wakati wa uchakataji wa Papuchi, "Juzi nilikuwa safarini kuelekea moro Nyumbani mara moja kumsalimia mzee na bi mkubwa, bahati nzuri sasa wakati...
7 Reactions
32 Replies
6K Views
KUKUMBUSHANAA MUHIMU FANYIENI KAZI MJINI WANAHITAJIKA WASAFI TU
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika maisha kuna kupata na kukosa ukipata utapenda umfurahishe mke wako kwa kumpa mahitaji yake mbalimbali hata kumnunulia gari ili apendeze zaidi na wewe ujiskie vizuri kwa kumuona ana furaha...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii nimejilidhisha mu mwenyewe na pia na nyie mtakuwa ni mashahidi wa hili.Wanawake huwa hawafuti namba za simu za wapenzi wao hata kama mliachana miaka miwili iliyopita.Au hata kama ulimtongoza...
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Mapenzi ya mtandaoni yameshika kasi na uwongo umetamalaki pande zote. Jihadhari na kisasi.
9 Reactions
32 Replies
4K Views
Ikitokea mpenzi wako unayempenda sana,na umemhonga vitu vingi sana kwake;mwisho wa siku unakuja kukuta kwenye simu ameku-save kwa jina la 'mburura' au 'kamongo',utachukua hatua gani?
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanaume wa Tanzania sikuhizi
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika sayari hii ya dunia kuna baadhi ya watu wanakwambia mapenzi ndiyo yanayoiendesha dunia, hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya watu wengi wametawaliwa na mawazo ya kimapenzi. Pamoja na...
5 Reactions
62 Replies
17K Views
Siku ni kifa wakati nazikwa naomba mnipigie huu wimbo mpaka mkimakiza kuni zika. Nadhani tume elewana ok?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kademu ka beki 3 nakaelewa kinoma lkn hakana simu, kameni promise tukutane chini ya mwembe ,,,, nimesubir sana mpk nimedondokewa na maembe hakajaja , sjui nikatafutie simu , ila hata sielew kama...
1 Reactions
11 Replies
820 Views
MAMA NA MWANA Gozbert ; Mama wamenifukuza shule Mama : Hivi ndo nimetoka kijiji cha Mkomanzila kwa rafiki yangu kuchukua pipa nikoroge pombe, nikiuza nitakutumia mwanangu. Kazana kusoma Gozbert...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu. Unawezaje kudeal na mwanamke Ambaye! 1.Anaweza akakosea yeye, Na kamwe hata usipomuuliza Hawezi kujielezea kwa nini kakosea Hata kama anajua umekasirishwa na makosa yake...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Leo naomba kuuliza kwa wanandoa, instagram, facebook n.k. zina mchango wowote kwenye kuongezeka wimbi la talaka? Ewe mwanamume unajisikiaje pale mkeo anapoposti picha kavaa kisuruali cha kubana...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Kwa kawaida tabia za mtu hazijifichi, awe mwanamke au mwanaume. Tatizo tulilonalo binadamu ni kwamba huwa hatuko tayari kuukubali ukweli kwa kujidanganya kuwa tumezama kwenye mapenzi. Mungu ana...
7 Reactions
47 Replies
9K Views
Wakuu habari ya leo. Nina imani afya zenu Ni njema kabisa. Mimi si mwanachama hai wa jukwaa hili, lakini leo nimeona nitoe mchango wangu kama njia ya kuboresha mahusiano. Kuna tabia ambazo kwa...
16 Reactions
100 Replies
22K Views
Kwa mfano ikitokea hicho kiungo chako unachokipenda na kukupa furaha duniani...kikajeruhiwa kwa ajali yoyote ile,na madaktari wakakuambia hakitakuwa kinafanya kazi tena(hutoweza kufanya sex);baada...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni kisa cha kweli, tulikutana ukubwani marafiki watatu tulisoma pamoja shule ya msingi. 1. Ni nesi mkunga, ameajiriwa hospitali ya serikali. 2. Police traffic ni mja mzito na amelazwa kwenye...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom