Bill9
Member
- Jul 21, 2019
- 39
- 119
Kademu ka beki 3 nakaelewa kinoma lkn hakana simu, kameni promise tukutane chini ya mwembe ,,,, nimesubir sana mpk nimedondokewa na maembe hakajaja , sjui nikatafutie simu , ila hata sielew kama nako kananielewa kihivo, ama keel mapenz uchizi bek 3 ananitesa mwenzenu