rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,972
Katika mambo ambayo wanaume tunakosea ni kutaka kumpa hela mwanamke hata ambazo hatuna uwezo wa kuzipata.. Yani ukiona mwanamke anakwambia nataka laki 5 na anajua kabisa wewe uwezo wako ni elfu 50 ndugu yangi Usivimbee unazoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani hapo unatafutiwa sababu uachwe wewe boyaa unakomaaa tuu[emoji24][emoji24][emoji24] So ukiombwa hela think smart kabla ya kutoaa... amekuomba laki 5 wewe unauwezo wa kumpa elfu 50 either umpe elfu 50 au MUACHEEE AENDEEE..
WEEKEND NJEMA[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
WEEKEND NJEMA[emoji2089][emoji2089][emoji2089]