juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Hii nimejilidhisha mu mwenyewe na pia na nyie mtakuwa ni mashahidi wa hili.Wanawake huwa hawafuti namba za simu za wapenzi wao hata kama mliachana miaka miwili iliyopita.Au hata kama ulimtongoza na akakukataa ila alikuwa na namba yako basi ujue hataifuta hiyo namba.hivi ni kwanini?