Kama ikitokea,utajikita kwenye nini?

Kama ikitokea,utajikita kwenye nini?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,732
Kwa mfano ikitokea hicho kiungo chako unachokipenda na kukupa furaha duniani...kikajeruhiwa kwa ajali yoyote ile,na madaktari wakakuambia hakitakuwa kinafanya kazi tena(hutoweza kufanya sex);baada ya hapo utakuwa unapenda nini hasa au utajikita kwenye nini?
 
Simple! Unaipata tamthilia ya Lalola? Sasa wewe utakachokifanya utambadilishia mtu.
 
Nawambia wanishonee dildo (uume wa bandia) nitakua nawafikisha kileleni wanawake wote duniani alafu aidizain na nyama nyama
 
Nawambia wanishonee dildo (uume wa bandia) nitakua nawafikisha kileleni wanawake wote duniani alafu aidizain na nyama nyama
ha ha ha tatizo utakuwa unawafikisha wao,ila wewe utakuwa unatumika kama msukule
 
Nitajikita kwenye kubet
Kama hivi
Screenshot_20190802-092028.jpeg
 
Ki vipi mkuu?
Tamthilia ya Lalola inahusu mwanaume kaamka asubuhi kajikuta ni mwanamke. Kwa kesi kama yako ni suala simpo tu! Nchini Malawi kuna mwanamke alitengana na mumewe akaenda kuolewa na mwanaume mwengine. Yule mwanaume aliyeachwa akaona isiwe tabu.

Alichokifanya akaenda kwa mtaalamu ikawa yule mwanamke akijihisi kufanya tendo la ndoa au yule jamaa aliyemuoa akiwa anataka haki yake, basi ule uchi wa mwanamke hauonekani. Panakuwa flat! flat! flat! Wakiahirisha kufanya tendo, uchi wa mwanamke unarudi kama kawaida.

Kwa suala lako fanya manuva hiyo iliyoharibika inaenda kwa Zero IQ na ya Zero IQ inakuja kwako.
 
Kwa sasa huwezi jua utakua katika hali gani...

Ila yakikukuta mbadala utapatikana tuu...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom