Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa kipindi nilichokaa hapa Mtwara 'nimeshatembea' na wake za watu zaidi ya 20 sasa imagine nikimaliza miaka 2 sijui itakuwaje! Wanawake hawa ni rahisi mno, sijui tatizo ni nini? Nilivyofika hapa...
11 Reactions
260 Replies
44K Views
Habar za saa izi Mimi nikijana wa miaka 33 na ninamke, miaka 4 sasa na nina mtoto wa miaka 2 mambo yamebadilika bada ya kudai kwamba naithamanisha familia yangu kuliko yake akawa anacukizwa kuona...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Nilimtongoza huyu binti akanikataa na kunitamkia maneno ya kuniumiza moyo, mimi nikampotezea, kaanza mwenyewe kunitafuta tena anataka nini kwangu hivi?
3 Reactions
32 Replies
6K Views
STORY: SHEMEJI MONICA MTUNZI: Nira Saire SEHEMU YA KWANZA ????????????????????? James alikuwa ndo kwanza amemaliza limu yake ya kidato cha sita, akiwa anangojea matokeo akaamua...
9 Reactions
193 Replies
238K Views
Wakati Polisi na uongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (TANAPA) ukisema askari wa hifadhi ya Taifa ya Ibanda-Kyerwa, Frank Mariki (30) aliyefariki muda mfupi baada ya kumfumania mpenzi wake...
4 Reactions
248 Replies
17K Views
Igwee.. Kwanza samahani wa wanandoa(hasa wanaume) ulio kwenye huu upumbavu wa kutokutamba mipaka ya ndoa. Imetokea zaidi ya mara moja nimeona wanaume(wanaojiita baba wa familia) wanashindwa kutoa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Iko hivi, jana jioni baba mwenye nyumba alinialika kwa ajili ya kinywaji, tukaenda kwenye ka grosari hapa mtaani, baada ya bia mbili tatu akanisimulia kuwa kamgegeda beki tatu wangu. Niliigiza...
1 Reactions
39 Replies
8K Views
Jamani wanaume tulio kwenye ndoa, ukiwa umetoka out na mkeo ghafla anapita msichana mrembo huwa mnafanyaje ili mkeo asijue kama umemtamani huyo mrembo? maana mi juzi yamenikuta sitosahau maishani...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kugegeda yule dada anayemiliki HALIYA TAKO LA NYANI nimeendelea kupambania ndoto zangu ikiwemo kuja kugegeza hawa madada wahudumu wa kwenye ndege. K wanza katika ukoo wetu wa LUHAHULA...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakati tunaingia kwenye mahusiano tunahurusu sana moyo kuchukua nafasi kubwa kuliko akili zetu,matokeo yake ni pale unaeza kuta watu wanadiriki hata kusema kuwa mtu kalishwa limbwata,ila ukweli ni...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
WanaJF mlioko Dar es salaam naomba mnitoe upweke. Mwenye kuwa tayari kutaka kunitoaga upweke, aje PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Gharama za kula na kunywa nitajipigapiga mimi mwenyewe.
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Title inajieza, natafuta mwanaume wa kubadilishana mawazo ,umri 30_ 35 pm nitajibu, kama unapatikana Moro, dar, ni nzuri zaidi
8 Reactions
58 Replies
9K Views
Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ? Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.
7 Reactions
78 Replies
18K Views
Ile umeshakata zako ticket mapema mwenyewe...siku ya safari unaamka na lile giza la chumbani...linakudanganya...bado bado... Unaenda kuangalia saa inakuambia ni saa 3 asubuhi...unafikicha macho...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Polen na majukumu ya kulijenga taifa kuelekea uchumi wa viwanda Nirejee kwenye maada mm nina mpenzi wangu tunaishi mikoa tofauti tangu niwe nae kwenye relationship tuna miaka miwili na yeye huwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama mtu atajaliwa kuishi miaka mingi,uzee hauepukiki.Ni kipindi ambacho mzee atahitaji furaha na faraja kutoka kwa ndugu na jamii inayomzunguka.Kunakuwepo na changamoto hasa pale jamii/ndugu...
7 Reactions
72 Replies
6K Views
Nawasaaalimuu Waungwana #Umuhimu wa kuandaana kabla ya tendo la ndoa. MWANAUME NA MWANAMKE WANATOFAUTIANA KWA KIWANGO KIKUBWA SANA HASA inapokuja KWENYE HISIA ZA mapenzi. Mwanaume akifikiria tu...
2 Reactions
19 Replies
15K Views
Kwa Nini Kila siku unakimbiwa na wanawake??? Wewe mwanaume unayesoma hapa, jiulize; huwa unadumu na mwenzi wako? Unaachwa au kukimbiwa baada ya muda mfupi? Kama jibu ni ndiyo, hapa utapata tiba...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
1. Wakati wapo wanawake wapo single...kwa namna tofauti tofauti...Iwe SINGLE MOTHER au SINGLE LADY...ila tu hajapata bahati au neema ya kuolewa...na wengine MASHAA ALLAH wamejihifadhi uchi wao...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari jaman ,naombe elimu juu ya mtu kuweza kupata mawasiliano yako,ambayo umewasiliana Mfano sms za kawaida na whasup, na nawezaje kuzuia asipate mawasiliano yangu, watu wa it mnisaidie juu ya hili
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Back
Top Bottom