Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa nikishuhudia na hata kuamua na kushauri ugomvi wa wanandoa wengi lakini mara nyingi sababu huwa jambo dogo, la kijinga na hata lisilo na mashiko. Yaani mpaka unajiuliza hili ndilo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzazi A Mwanangu sasa hivi umeshakuwa hivyo kuwa na makini na Wanaume dunia imeharibika. Mambo mengine atakuambia Mama yako au Shangazi zako ila Mimi Baba yako naishia hapa. Mzazi B Wewe Mtoto...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
"Mwanangu ukitaka kufurahia maisha ya ndoa, katu usiwe na mke mmoja tu". Kisha akendelea , mke mmoja atapambana na wewe kila siku ila ukiwa na wawili watapigania wao kwa ajili yako kila siku...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Leo naungana na wengine dunia walioumizwa na wanawake ambao waliwahudumia lakini mwisho wa siku waliachwa bila ya kuona Tone la huruma kutoka kwa wenza wao wa zamani. Nasema haya kwa huzuni...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Mpo?????ray nimerudiiiii tena nimejaa teli mpo tyityiiiiii?? Mambo ni mengi muda ni mchacheeeeee Niliwamissoooo leo nikaona nipitye hapa niwasabahiii hehee mapenzi pesa babu Yaani n hviii//////...
0 Reactions
8 Replies
890 Views
Mrembo fulani hivi mwembamba mrefu Majibu ya kunde, mweupe 100%, black beauty Mcheshi, mtu wa dini heshima kwa kila mtu, ajue jinsi ya kucare, msomi au awe na kitu cha ziada maishani mwake basi...
0 Reactions
7 Replies
983 Views
I laugh each time men say they don't understand women. How can you understand what was created when you were sleeping 😂😂
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wadau wa jukwaa pendwa Uchunguzi nilioufanga kuhusu ndoa nimebaini kwamba ndoa za Mitala za kiislam yaani za mke zaidi ya mmja zinadumu na zinafuraha kuliko ndoa za kikristo za mume mja na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Toeni maoni yenu juu ya hili tafadhali.
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Naam habari za usiku wakuu Leo nataka nihitimishe kisanga kilichotokea kule Kibada. Si mbali sana na pale anapoishi Masanja Mkandamizaji, kwa wanaofaham maeneo ya Kibada. Mwanzo wa mwezi huu...
9 Reactions
18 Replies
3K Views
Huyu dada hapa mtaani kwetu huku Kwamtogole aliolewa na mume mchacharikaji mashallah, walijenga nyumba, mwanaume alianza biashara, alinunua dalala, nyumbani mboga si saba lakini mbili at tatu...
18 Reactions
46 Replies
4K Views
Movie linaanza, atakuja kwangu weekend sa1 asubuhi kwa nauli yake hapo nimelala atatoa nguo zangu zote chafu, mashuka viatu atafuaa zinang'aa. Ataingia jikoni atasafisha makabati, vyombo ataingia...
8 Reactions
138 Replies
9K Views
Huyu binti alianza shule ambayo alijikuta ni mweusi peke yake darasani. Sina uhakika kama alidhihakiwa na wenzake. Lakini alimuuliza mama yake alipofika nyumbani ni kwanini yeye yuko tofauti na...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Hope weekend imeanza vyema wadau, nianze moja kwa moja kama title inavyodai. Unapopata mpenzi au tayari unamtambua kama mwenzi wa maisha yako kwa sababu tayari mpo kwenye ndoa, unapaswa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Na. Robert Heriel. Usichoke kusikia Maonyo ya Baba yako. Mimi ndiye nikupendaye. Naye Mungu atakupa maisha yenye furaha na amani siku zote za maisha yako. Hakuna maisha mazuri bila kuwa na mke...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Huyu bint kiukwel asipoangalia,..itakula kwake 1.anataka kiila weekend aje kwangu ijumaa aondoke j3 hata sipumui kiukwel 2.nkimwacha nyumban nakuta kapekua kiila kona af alivyo 0 brain hata...
5 Reactions
100 Replies
8K Views
Maisha magumu bna ila we live once atii Mimi bwana sina dhambi nyingi kiivo,sinywi pombe Wala sigegedwi kwaiyo nataka nienjoy maisha kwa kusafiri. Sasa nataka nianze safari zangu hapa hapa...
7 Reactions
215 Replies
16K Views
Habari za mihangaiko wana jf. Mimi mgeni humu,nisiwachoshe sana. Mimi ni kijana umri miaka 23 nimetokea kumpenda binti hapa mtaani kwetu, nimemweleza hisia zangu kuwa nampenda lakini hakunijibu...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Nikiwa peke yangu kitandani na kiubaridi kimenifanya nikumbuke maisha ya kimapenzi niliyokuwa nayo miaka ya nyuma. Kuna maeneo ambayo mpaka leo ninajiuliza nilikuwa nawaza nini mpaka kugegeda...
14 Reactions
155 Replies
23K Views
Habari zenu wana jukwaa hili la mapatano; Nimekuja kwenye jukwà hili niweze kumtafuta Mwanadada anae jiheshimu, msafi na yupo tiar kwa mahusiano ya ndoa kwa "baadae kidogo tu" Nina miaka 31 na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom