CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,103
Ndugu zangu.
Unawezaje kudeal na mwanamke Ambaye!
1.Anaweza akakosea yeye, Na kamwe hata usipomuuliza Hawezi kujielezea kwa nini kakosea Hata kama anajua umekasirishwa na makosa yake?
2.Ukijaribu Kumuuliza pia Anajibu Kikaidi ama ndo Anakupiga maneno makali zaidi ya mwanzo.
3. Anayeamini Katika Mawazo yake, na Ana amini Maamuzi yake hayana doa.
4.Anayeamini Anaweza kufanya Mambo yake mwenyewe.
Familia inahitaji Roho ya Chuma.