Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe neno gani?, labda hivi, 1.KUHUSU...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu bibie jaman huwa simwelewi kabisa, akifika mawenzi huwa nang'atwa, nakwanguliwa mgongo na kucha zake yan mgongoni na machale sio poa, sometimes naweza kula vibao ila baada ya hapo analegeaa...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Dah ulimwengu unaisha kama wanaigiza kilichomo hatari mwanaume amewapanga wanawake kama nini. Tuanze bossy mwenyewe ,sekretary wasichana wote waofisini nadhani hadi mlinzi chai . Hata haoni aibu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Umeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman...
32 Reactions
113 Replies
8K Views
Ama hakika. This is new kipepe. Serious talks only! Habari za mda huu, ndugu jamaa na marafiki, leo nimeonelea niseme kitu kuhusu wanawake wengi kua na tabia ya kumzungusha zungusha mwanaume na...
3 Reactions
109 Replies
11K Views
Hii michango imekuwa kero siku hzi watu wapo bze sana kupeana saport kwenye mambo kama harusi tena siku hzi mtu usipo mchangia inakuwa kama mmetengeneza uadui.Binafsi naungana na Mwana fa. ktk...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Masharti haya hapa »Awe tayari kufunga ndoa nami mapema iwezekanavyo ikibidi wiki ya pili au ya tatu baada ya kukutana. Sitaki maswali kwa hili nina sababu zangu. »Awe mstaarabu, wale wa macho...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Hii ni mada chokozi. Ni ukweli ambao ni mgumu mno kuupinga kwamba wanawake wengi walio kwenye ndoa hawakuwingia kwenye ndoa kwa sababu ya kuwapenda waume zao. Why? Mwanamume ni lazima ataanza kwa...
4 Reactions
115 Replies
14K Views
Habari zenu wapendwa. Siku tatu zijazo natarajia kuchakata msichana ambaye ni bikira, tulikutana siku moja nikahahakikisha kwamba ni bikira nilitaka nimchakate akakataa akasema yupo mwezini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kweli nipo serious,kwa sasa wale ambao wapo karibu yangu wananifahamu vizuri..nawafahamu vizuri najua wamepitia magumu katika maisha yao wanahitaji faraja sana! Jambo moja ambalo wanaume...
2 Reactions
4 Replies
828 Views
Kuna dada anafanya kazi kwenye shirika la kigeni, hajaolewa na kazi zake ni za kisafiri sana. Aliamua kutafuta dada wa kumsaidia kazi za ndani. Kwa kifupi kazi ya dada ilikuwa kwa ulinzi zaidi...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mwanaume mmoja alioa wanawake wawili. Mwanamke wakwanza hakuwahi kuzaa mtoto, yaani alikuwa mwanamke tasa wakati wapili alifanikiwa kuzaa watoto wakike sita tena wazuri sana. Yule mke wapili...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
Usicheke,huyu ni mume wa dada mmoja mjuaji sana wa jf
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Bila shaka hamjambo wakuu! Tukiwa safarini na Mr kwenda kutizama plant yatu huko Geita ndani ndani migodini Tukawa tumeamua kulala huko huko, sasa hakuna hotels wala lodge za maana sana sana kuna...
15 Reactions
120 Replies
14K Views
Ni miaka miwili sasa toka tumeachana rasmi B. Msichana mrembo nilieamini ungekuwa mke wangu! Najua tamaa za dunia zilikuteka ukaamua kuniacha na kuanza mahusiano na mwanaume mwingine! Kiukwel moyo...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Katika maisha mwanaume inakupasa kufahamu mambo ya msingi yatakayo fanya maisha yako yawe ya furaha, mambo hayo ni pamoja na: 1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hamjambo wana JF, Ni hoja ya mtu ambaye si memba, kutokana na ninavyoisifia JF anataka apate ushauri hapa. "Mimi ni mwalimu wa p/s, nimekuwa kazini kwa muda kidogo. Siku hizi nakabiliwa na...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Ndugu zangu hebu tujadili jambo hili kidogo mm ninapata wasiwasi na hawa mabint wa shule jibsi wanavyoshinda stand na kushikana shikana hovyo karibia ktk stand nyingi za hapa dsm, mbezi l, tabata...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni jibu tafadhali... Nimerejea mahabani baadae ya kukosa jibu mujarabu siasani. Ukisimama inakuwa mbele, ukikaa inakuwa kati na ukiinama inakiwa nyuma. Ni vyema ukafanya kwa vitendo na...
4 Reactions
78 Replies
4K Views
Back
Top Bottom