my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Siku ni kifa wakati nazikwa naomba mnipigie huu wimbo mpaka mkimakiza kuni zika. Nadhani tume elewana ok?
Si ungewaambia watakaokuzika mkuu sisi tutajuaje huku?
Atashangaa amefia baharini halafu mwili wake unapotea, ukifa you don’t have decision over your body