Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nikiwa peke yangu kitandani na kiubaridi kimenifanya nikumbuke maisha ya kimapenzi niliyokuwa nayo miaka ya nyuma. Kuna maeneo ambayo mpaka leo ninajiuliza nilikuwa nawaza nini mpaka kugegeda...
14 Reactions
155 Replies
23K Views
Habari zenu wana jukwaa hili la mapatano; Nimekuja kwenye jukwà hili niweze kumtafuta Mwanadada anae jiheshimu, msafi na yupo tiar kwa mahusiano ya ndoa kwa "baadae kidogo tu" Nina miaka 31 na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu poleni na hongereni kwa kazi. Ni hivi. Wiki mbili zimepita kuna demu nilimuomba game. Akasita sita kama siku tatu hivi. Nikampotezea. Jana kaniomba laki. Hapa kazini, kuna single mom...
33 Reactions
206 Replies
24K Views
Utakuta unamtoa mwanamke mbali kimaisha huko kijijini. Alipokuwa akiumwa ulimpa matibabu na wazazi wake pia uliwasaidia sana huko kijijini kwa kuwa ulikuwa na biashara zako hivyo suala la pesa...
19 Reactions
218 Replies
19K Views
Mimi ndimi. Laahaaulaaaa! Siamini kinachotokea, katika mishemishe zangu za kupiga pesa aseee nimekutana na mwanamama mmoja wa kizungu inaonekana kama ana 45 yrs hivi mazeee.! Duh! Wazungu...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba wanaume wengi sana wanalea watoto ambao sio wao, mabinti /wanawake wakibebeshwa mimba huko hutafuta wanaume wenye unafuu wa maisha na kuwabebesha mimba ambazo sio zao. Niende...
12 Reactions
78 Replies
9K Views
Ikiwa Leo inasemekana ni siku ya urafiki duniani hebu tuambie umekutana na changamoto zipi juu ya marafiki wanaokuzunguka Mm naanza hivi.... Kuna jamaa yangu mmoja ( wakiume) nilikutana naye...
0 Reactions
3 Replies
784 Views
All the best
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Habari za mda huu wadau wa MMU... Baada ya pilika za miaka mitatu minne hatimae leo nimekutana na yule ambaye nilikuwa na promise kuwa one day tutakuja kuoana.... Niseme tuu namjua na ananijua...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za wakati wakuu... Sijui yupo sahihi huyu mwananzengo?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
''If a man must have a good job, car and a house before marriage.. What must a woman have before marriage?? I'm waiting'' Robert Mugabe Hilarious Quotes
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau! Jana jioni nimerudi Kwa mbwembwe nyumbani baada ya kupokea laki kadhaa toka kwa boss wangu. Nikamuomba wife anifanyie massage, nikampa Tsh. 50,000. Wacha nifaidi, kumbe wanafanya...
8 Reactions
24 Replies
5K Views
Wanawake wenzangu, kila siku napenda kuwaweka wazi mambo muhimu sana katika mahusiano na ndoa zetu. Leo nataka nikukumbushe tena jambo hili. Kama unaona ndoa au mapenzi yako yanayumba yumba...
39 Reactions
495 Replies
25K Views
Iwe isiwe nataka kuoa mwanamke msomi; mwanamke anayejitambua asiyepelekwa pelekwa tu kama kondoo apelekwavyo machinjioni. Na ikiwezekana atoke familia inayojiweza kiuchumi ili nipate msaidizi...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Habari wanajamvi? Sisi tuliopo katika ndoa tuna changamoto nyingi sana zinazotukabili ambazo baadhi husababisha ndoa kuvunjika. Naona itakaa poa kama sisi tulio katika ndoa tukajadiliana, kupeana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Hivi mtt wa kiume hadeki choo au bafu? kuna ubaya mtt wa kiume akijifundisha kazi ndogo ndogo za nyumban eti?. Huyu mdg wangu wa kiume yupo likizo, kutwaa anashika simu ana groups...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Kwa mahusiano yasiyo rasmi(Bf &Gf) wanaume tunachangia sana in unfair way, Imagine lengo lengo ni kumaintain relationship yenu ikue na mpeane raha,pesa ya kununua nguo/simu unampa wewe,vocha...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wana jf mu wazima humu? Leo kimenitokea kisa ambacho nafikiri ni muhimu kukijadili ili wengine wajifunze kupitia mimi au kwa wale wenye busara basi wanaweza kufunguka wapi mimi nilikosea ili nami...
11 Reactions
130 Replies
11K Views
*TOFAUTI YA MUME MWENYE MKE MMOJA NA MUME MWENYE MKE ZAIDI YA MMOJA* 1. Mume mwenye mke mmoja huwa hana uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa, wakati mwenye mke zaidi ya mmoja huongezeka nguvu za...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom