Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa...
Kuna jirani yangu hapa chupi imepeperushwa na upepo ikaingia ndani kwake bila yeye kujua... Sasa demu wake ameikuta gheto mpaka sasa ni ugomvi..
Pia ndani kwake kuna viatu virefu vile vya kike...
Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:-
LUKU ya mwanamke huisha fastaa
Jiko la Gas huisha fasta
Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo...
Yani nasema kiukweli toka moyoni sipendi mke wangu atumie mitandao ya kijamii.
Hata kama mimi mwenyewe natumia na anajua natumia lakini yeye sipendi nimuone anatumia hiyo mitandao.
Najua wapo...
MKE WA KAKA
Sehemu Ya 51
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←
"chidi, njoo boy wangu mie naumia"
"usijali,.. Ila we wataka vingapi leo"
"leo, nataka wewe...
Sarah alitoka kwenye familia nzuri sana, baada ya kumaliza mafunzo ya ualimu alianza kazi kwenye wilaya moja. Alikuwa na mawasiliano na boyfriend wake wa tangu shuleni. Huyu alikuwa mgeni wake...
wakuu habari..
.
.
huu ukwaju uloletwa mjin umekuwa unaliwa kivingine kimitego na hawa waliozungumza ana kwa ana na shetani pale bustanini!
.
tazama wanavyoulamba utashangaa mara waunyonye huku...
Habari zenuenu wakuu wa JF?
Wakuu bila kupoteza muda ningependa kutambua hasa ni kitu gani kinasababisha hawa Warembo ambao bado hawajaingia katika maisha ya ndoa watupende sisi wanaume ambao...
Huyu kijana nilikutana nae katika gar miaka 5 imepita huko nyuma tukabadilishana mawasiliano kutokana na Kaz aliokuanafanya na mm kwa kazi niliokuwa nafanya zilishabihiana kiasi.
Tuliwasiliana...
Kama una mke, mchumba, mchepuko wa kike halafu havai nguo fupi ama zile za kubana basi umekosea kuchagua.
Angalia shape yake, ipo vizuri?
Angalia sura yake, ipo vizuri?
Angalia miguu yake, iko...
Maisha yanakwenda kasi sana, nawashangaa sana vijana wanaokosa papuchi mpaka kupiga nyeto, nina umri wa miaka 24 ila mademu kibao wananilia!
Mmoja ana Miaka 37 ana watoto wake wawili, huyu...
Ndugu zangu,
Kama mjuavyo siku hizi tatizo la ajira hasa kwa wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu limekua kubwa sana. Ila kinachonishangaza, tunaambiwa kwamba soko la ajira lina ushindani...
MAISHA YA MLIMWENGU BOARDING SCHOOL
Andrew alikuwa na umbo dogo alipita juu ya dari akadondokea nje ya bweni na mwili wote ulikuwa umejaa vumbi usingeweza kujua sura yake kwa alivyokuwa kutokana...
Nilipokuwa na kazi nzuri nilimtimizia mahitaji yote,
Lakini sasa kazi nimefukuzwa mpenzi hanitaki tena,
Nilipata mgeni mmoja akanidanganya ni kaka yake,tena nilimkaribisha na nyumbani kwangu...
Bila salamu...Direct to the point(NB:Sitatumia Ngareroo slangs watu wanalalamika hawaelewi,So Shunie Am sorry coz unapenda Ngareroo slangs),Jana usiku nikiwa alone kama kelvin ghettoni nacheki...
Ukubali usikubali haya ninayoyasema ni kweli na hakika!
Ikitokea ukaingia kwenye nahusiano na Juma au Asha, baadae ukagundua kuwa mwenzako anatabia fulani hivi ambazo zinakukela mathalani kujibu...
Dume zima una Kitambi Kikubwa halafu hapo hapo ni Mvivu wa Kuoga achilia mbali Kufua Mboksa wako.
Dume zima na akili zako kabisa yaani katika Magari yote Wewe umeona bora Kwako Kununua ni Vitz au...
Ni furaha ilioje kwa familia kwani baada ya msoto wa muda mrefu sana naye sasa kapata mwenza.
Mume ni wa kule kusini mashariki ya mbali. Nilichojifunza ishu ya kukosa mwenza inawakosesha raha na...