kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,099
- 15,426
Uzoefu unaonyesha kuwa ndoa ambazo gharama zinakuwa kiduchi zinadumu sana angalia hii video wabongo wakienda ukumbini
Non sensePesa ulizo nazo ndio Zita amua furaha ya ndoa na kudumu kwa ndoa
gud
Hapana. Kuna Boss mmoja wa ATCL wakati anafunga ndoa alikuwa tofauti sana na alivyo muda huu. Maisha yanabadilika.Zinadumu kwenye maisha magumu
kwa sababu una low IQ Uwezi kuelewaNon sense