Barua yauchumba dini tofauti nayako muoaji inaandikwaje, msaada jamani

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,343
Nimekuwa mkubwa jamani Sasa nataka kuoa.

Mimi katika tumbo letu mimi ndio wakiume pekee, tupo watatu namimi ndio wapili kuzaliwa, wazazi wetu wote walisha rest panapostahili.

Ndugu wengine tunao ila kwabahati mbaya hatuna ukaribu wakivile nahiyo yote kutokana namazingira tuliyolelewa nawazazi wetu.

Sasa nimekuwa mkubwa nahitaji kuoa, namchumba ishampata yaani nimpenz wangu kitambo sana.

Changamoto iliyopo nijinsi yakutuma barua yauchumba hali yakuwa dini zetu zipo tofauti.

Kuhusu yeye kubadili dini hana maneno nahata msimamo wawazazi wake ameshaniambia hawana pingamizi.

Changamoto mtu wakumtuma namaanisha watu wazima ndio sina. Maana hata ndugu zangu wakubwa wapo mbali nanilipo.

Ushauri wenu jamani hata kama kuna mfano wabarua mnaweza nitumia
 
Kabla ya yote andaa bahasha ya kaki ndani weka laki 3 andika Mimi naomba kumuoa mwanenu Mimi mkristo safi au muislam safi..Utachukua mtoto kiulaini
 
Back
Top Bottom