Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 941
Wana jukwaa salama
Kwanza kabsa niende moja kwa moja kwenye mada rose n mwanamke niliempenda sana takriban kwa miaka minne nikiwa nae kwenye mahusiano tulipitia mengi alinifanya nifumbe macho nisione wanawake wengine kama wanafaa kuwa na mimi.
Sikuwahi kujua kama kuna kupendana ila kwa yule binti sio tu mikono juu nilinyenyua mpka miguu ila dah siamini kama alienda bado nakukumbuka daima nitakupenda hawa naokutana nao huku wananipa hekaheka mpaka basi ila sipo kinyonge nawanyoosha hivo hivo ila naumia kuona tulitengana kisa wazazi
Nb; Wazazi acheni basi hizi mambo ni historia ndefu sana nikikumbuka ila kikubwa zawadi uliyonipa daima sitoisahau ni kunitunuku bikira yako