Poa haina nooma. Na mimi nitafikisha huo umri na wakati huo weww utakuwa menopause [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]bahati hainyimwi, ukiona hivyo hio si yako ndugu
Level 8 gold crest...u said above 45 sawa...lkn usiwe na mambo ya kizee..km sawa pm.niko na mood ya kumeet new people leo, anyone around rockcity? tuanze weekend leo kabla sijaondoka jmosi
leo nimeamka na kijifuraha changu chonde chonde wana jf msiniharibie heheheheheh
nb:ni kwa watu wazima tu 45+ below vijana tusisumbuane lolest
miungu watu wa jf ushauri pelekeni huko, piteni mbali[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]