Vipi utaweza gharama?

Vipi utaweza gharama?

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Hili ni swali ambalo huwa limo kichwani mwa kina dada wengi wanapo tongozwa hakwambii lakini sisi wanaume lazima tujue lipo kichwani mwao. Wao husema kuwa wao ndio hustahili kupewa pesa na wanaume, sio mwanaume amuombe mwanamke. Hata sijui nani aliyejenga tamaduni hii maana wakati mwingine mwanamke ana pesa zaidi ya mwanaume hapo inakuwaje mwanaume anapo pigika.

Sisi wanaume tunapo tongoza lazima tujue kuwa kuna GHARAMA YA KUMPATA MWANAMKE na GHARAMA ZA KUWA NA HUYO MWANAMKE KUENDELEA KUWA NAYE.

Mwanaume lazima uelewe hili ukitongoza unaweza ukazungushwa mpaka ukakata tamaa ukaishia zako, wengine hawakati tama ila siku moja anakubaliwa halafu anamuuliza mdada HIVI KWANINI ULINITESA SANA NIMEKUPATA KWA SHIDA mdada anamjibu ULIFIKIRI UTAKUJA TU KIURAHISI NA UKUBALIWE?

Tuishie hapo kwa siku ya leo ila tumeelewana. Ila kina dada take your time kuchagua na kumjua nani na awe nani katika maisha yako, pia wanaume, mvuto tu usikufanye ukahitaji uwe naye haraka haraka NO. take your time kumjua zaidi.

NIONGEZE SAUTI AU.

BGFF.jpg
 
Sex was ment for reproduction.
Haya mengine tumeyaleta wenyewe na ndio yanatucost.
Kama huna hela achana na starehe za ngono
 
Sauti inatosha kabisa. Nasisitiza Kila mwanamke ana gharama yake ya kumpata na kuendelea kuwa nae.
NB: Gharama sio pesa tu
 
Huo ushauri uliotoa kuna mtu asiyeufahamu kweli?

Punguza tu sauti,wala hakuna jipya hapo​
 
Leo ukimpa 20,000 kesho muombe akununulie soda tu ya 600 wengi waliowapumbavu hakupi nng'oo,
 
Ukitaka usiulizwe hinyo we muite uko ndani range kwanza atajishtukia
 
Huo ushauri uliotoa kuna mtu asiyeufahamu kweli?

Punguza tu sauti,wala hakuna jipya hapo​
Wengu hawajui la kufanya kama 89% hivi, hujawaona mtu akishapata haraka haraka anasema anakwepa gharama ya kuwa na wewe
 
Unahonga unatafuna unasepa kinaaribika kitu gani mtoa Mada mbona unateseka hivyo
 
Back
Top Bottom