TAZAMA MFANO HUU.
Umerudi kazini, umekaa na mama watoto, kashika simu yake kageukia kule, wewe umeshika yako umegeukia huku unaperuzi mtandaoni. Mara unakumbana na kavideo fulani hivi...
MTUME MUHAMMAD اصلا الله عليه وسلم ALIPATA KUULIZWA NA SWAHABA WAKE JUU YA "Ni yupi wa kutendewa wema zaidi katika wazazi wangu wawili na ndugu zangu?, akajibu 'Mama Yako', akaulizwa nani...
Watoto hawaruhusiwi kunywa pombe mpaka wafikishe umri wa miaka 18 na nchi nyingine 21. Mzazi unapomtuma mtoto awaletee bia wewe na marafiki zako ni sahihi?
Nionavyo mimi mtoto asihusishwe na...
Wanajamvi...
Hebu tusaidiane kitu hapa....
Kwenye mechi ya kujamiiana kati ya mwanamke na mwanaume huwa kuna rounds. .
Round ya kwanza ni ile mnayoanza nayo ambayo inasemekana inakua fupi sababu...
Kama mpenzi au mchepuko wako anaomba sana vocha basi mwambie atumie njia hii hapa, hata kusumbua tena na akishindwa basi, hana shida na vocha,,,,,
https://jamiiforums.com/sfQFsV4cPZ
Baada ya kufika lodge jamaa aliniomba kusubiri nje akaingia ndani(reception)kuulizia vyumba baada ya dakika chache akarejea na funguo mkononi akiashiria tuelekee chumbani kupumzika baada ya...
Una mke mzuri lakini unamused kuwa na mchepuko. Kuua so unapotoa mchepuko hutaki umma ufahamu hivyo unakuwa na rafiki yako best pembeni. Kwakua huyu rafiki yako hajaoa ni rahisi watu kufikiri huyu...
Habar za muda huu wanajamii. Mim ni mdada wa miaka 29, Muislamu ninaishi na HIV+ na nimejikubali kwa hiyo sio jambo ambalo linalonisumbua. I am physically fit Alhamdulillah,
Changamoto kubwa ni...
Habari Jf members!
Ninaamini kila mmoja ana story take unique katika tasnia hii pendwa ya malove Doveee,
Wengi tumeacha na kuachwa bila sababu na sababu za msingi katika kuacha.
LEO HII UNA NENO...
Mtu amekaa nyuma ya key board analeta thread hapa kuwa mke wake amekuwa jeuri. Sasa kama umefikia uzito huu mbio za riadha utaziweza? Amekuwa jeuri kwakua wewe umekuwa shost wake kitandani.
Habari wana JF, nimepata kufikiri jambo na nikaona bora tujadili sote.
Ni hivi unakuta mwanamke ametoka kazini labda alivurugwa na mambo ya kazini kwake,kugombana na bosi wake, unakuta ana stress...
Salaaam....
Ngoja niende kwenye mada
Bila kificho niwazi kwamba wahuni wanamthamini mtu na shida zake "regardless" anamkosea mungu au serikali.
Ukipata "demu" hata kama huna pesa za kutosha yupo...
Kuna baharia hapa mtaani kwangu alikuwa ana mahusiano ya muda mrefu na binti flani hivi ambaye anaishi mtaa wa tatu toka hapa tulipo ninapoishi Mimi na huyo baharia........
Kwa kifupi mahusiano...
Mimi no kijana nipo Geita MBogwe husika na kichwa cha Uzi hapo juu wasichana wanazingua nipo siriazi miawe na miaka kunzia 28 had 35 kabila lolote Dino yeyote cha msingi awe na akili pevu katika...
Nimejaribu kudadisi jambo hili kwa kitambo kidogo
Wanaume mara nyingi huwa tunabahatisha Kupata wanawake wa ndoto zetu kwa kuwa sisi mara kadhaa hupenda mwanamke kwa mara ya kwanza huenda kwa...
Poleni na majukumu wana JF
Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi...
Hawa kaka zetu wasiopima afya, wasio Fanta mazoezi na maisha yao sasa kutokana na kuwa kwenye ajira muda mrefu sasa wamekuwa vibosile kule kazini na marupurupu yana ahueni. Wale wenye biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.