Sasa Shemeji Mimi Nna Kosa Gani?

Sasa Shemeji Mimi Nna Kosa Gani?

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,164
Reaction score
2,610
Wakubwa Habari za wakati huu.?
I hope mko poa,,Bas bhana leo kuna chaliangu alinipitia kumsindikiza kwa Manzi ake,Kwakua ni mwamba sikuona kwere yoyote so nikaamua kumsindikiza. Sasa ile tumefika manzi ambae ni demu wa mhuni akatukaribisha pale niaje nikapewa kiti na maji ya kunywa,ado ado nikawa nayagida uku naperuzi peruzi humu JF. Chalii na manzi wakaingia ndani,mala kama dakika5 ivi nikaskia wanazozana,Khaa..!!nikasema nini iki?Mala mwana si akatolewa kibati nje na manzi,manzi kawaka mbaya kawa ngiri alaf anahema kama bata uku akisema"Toka nje uondoke na huyu rafiki ako mwenye kichwa kama panzi Kima wewe!" Sasa mimi nimekosa nini hadi anikashifu vile?sijui kilimkuta nini mpaka akaongea maneno makali kama kakatwa kichwa!

@NgarenaroBoy.
 
Acha uongo Arif
 
Ngalelo boy kafanye homework
tapatalk_1493627895302.jpeg
 
Hapo darasani kwenu form one B wewe na huyo rafiki yako mnashika nafasi ya ngapi kutoka mwisho kwenye mitihani?
Usiemjua achana nae tu Chaliangu.Ila ni nafasi ya mwisho ndo tumeshika.
 
Uongo. Kuna kichekesho kinasambaa umekopi idea huko umetunga stori.
Upo sahihi kabisa,,ila unamjua aliyekitengeneza?unanijua mimi ni nani kwani?labda tuanzie hapo
 
Wakubwa Habari za wakati huu.?
I hope mko poa,,Bas bhana leo kuna chaliangu alinipitia kumsindikiza kwa Manzi ake,Kwakua ni mwamba sikuona kwere yoyote so nikaamua kumsindikiza. Sasa ile tumefika manzi ambae ni demu wa mhuni akatukaribisha pale niaje nikapewa kiti na maji ya kunywa,ado ado nikawa nayagida uku naperuzi peruzi humu JF. Chalii na manzi wakaingia ndani,mala kama dakika5 ivi nikaskia wanazozana,Khaa..!!nikasema nini iki?Mala mwana si akatolewa kibati nje na manzi,manzi kawaka mbaya kawa ngiri alaf anahema kama bata uku akisema"Toka nje uondoke na huyu rafiki ako mwenye kichwa kama panzi Kima wewe!" Sasa mimi nimekosa nini hadi anikashifu vile?sijui kilimkuta nini mpaka akaongea maneno makali kama kakatwa kichwa!

@NgarenaroBoy.
Tukio hili sio geni hapa jf, bado najiuliza lilishawahi kumtokea mtu mwingine au ni dejavuu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom