Mbona wanawake wa siku hizi ni pasua kichwa sana nmefanya tafit ya maeneo tofaut na kugundua wengi wao wako kimaslai zaid ingawa nilikuwaga mwanzo nasikia tu kwa watu tofauti.unakuta unakutana na mwanamke kweli umempenda baada ya mazungumzo ya hapa na pale baadae anakupigia simu afu ukiangalia ni the same day utaskia baby naomba elfu 50 nashida nayo plz nisaidie bby, nashida na kitu flan au bby ninunulie kitu flan wakat huohuo baharia nawe unataka umpate huyo dem lkn unashangaa as if kama dem anazingua hivi so hapa mwanaume kama hujaJIONGEZA UTAKAUSHWA MPAKA DAMU sasa ukiona hvyo hapo kuna haya makuu matatu..KWANZA:anataka akutumie kimaslahi yake zaid kabla koz mihemko mikubwa ipo kwa me by dat tym na dem anajua akisema hupindui kwa hapa kweli benefit kubwa ipo kwa mwanamke koz mwanaume ukisema tu huna unajua moja kwa moja utampoteza so utajitahd umridhishe dem,PILI:yawezekana dem anakuchukulia kwa jinsi mlivokutana for the first tym na kupeana story za hapa na pale labda ameona kweli pesa ipo na investments, as usual..kama ndio hivi atakuwa mjinga sana koz hapa ndo kwenye fursa na kula na kipofu na MWISHO Mwanamke anakuwa hana mapenzi yakweli na endapo ukamnyima tu pesa au vitu flani utaskia naomba ufute namba yangu na usinitafute tena......vipo vingine ambavyo unaweza ongezea .....ili kuwaweka SAWA wanaume kuhusiana na hawa aina ya mademuuu.
NB:Usipende kuomba pesa halafu wew unachutama na ni wachache san wanaoweza omba na ni kwa emergence maalum ukiachana na hawa ambae yey cku haipit bila kufanya hvo.
NB:Usipende kuomba pesa halafu wew unachutama na ni wachache san wanaoweza omba na ni kwa emergence maalum ukiachana na hawa ambae yey cku haipit bila kufanya hvo.