Janjajanja za wadada wadangaji mjini

Janjajanja za wadada wadangaji mjini

red fox

Senior Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
127
Reaction score
342
Nlipopata kazi kwa mara ya kwanza na kuanza kuishi jijini Dar Es Salaam kuna changamoto nlikumbana nazo kama kijana kijogoo, nlianza kujirusha maeneo ya kinondoni hasa masai club ambayo siku izi ni meridian club, nlikutana na binti mmoja pale anaitwa Caren (alinidanganya jina) tamaa zangu za chini zilisema ni binti mzuri sana natakiwa kuish nae geto awe dem ang kabisa, nkaanza kumpigia misele namtongoza ile kishua kabisa, kuna washkaji zangu wakanistukia mishe zangu za pimbi, nkapewa file la demu kumbe anadanga tu, af me natongoza maneno kibao na bier zangu anakula nampa na pesa, ndo nkagundua madem wa kinondon hawawi permanent wala hawatongizwi, unakata pochi tu unapewa papuchi...

Naomba tukutane apa wote mlofanyiwa janja janja na hawa madada maninja tuongee uloyashuhudia ikiwapo umafia wao ili tabia zao mbovu zisijirudie
c8021d88148ecbbd0f726a08cc9b95eb.jpg
 
Hiyo picha ni movie au? Sielewi elewi mr. Ufafanuzi tafadhali
 
We jamaa unanishangaza sn,inaelekea ww ni wa mikoani,tangu lini ukatongoza demu club,bora ss umegundua club hakuna kutongoza.[emoji2]
 
inaonekana walikuliza na dawa zile akikuekea kwenye bia au akikupa ziwa unyonye umekwenda na maji .utajikuta mfukoni kweupeee
 
Duh!!!! Mamaeee sio kwa huo mchongoma. .hiyo itakuwa mwananyamala kisiwani tu. kinondoni shamba au kinondoni Moscow

Back
Top Bottom