Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,942
- 858,870
Mmoja anaaza....
Matembele.....
Wengine wanaitikia...
Matembele ni matamu kama mke wa jirani...
Halafu wanaendelea kwa kupokezana
Matembele ni matamu kama mke wa mwenye nyumba[emoji12] [emoji15] [emoji35] [emoji3]
....Matembele ni matamu kama mke wa balozi [emoji87] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125].....!!!
Ni kawimbo kanakoleta burudani lakini ile ni tafsida....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]usiniulize zaidi sitakwambia