Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Waungwana! Katika uzi wa rikiboy usemao "ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIHARA?" Mimi Bazazi wa Bazazi, mchango wangu (post 1546) nikichangia kisehemu cha post ya Samboko sikuzungumzia kula tunda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Upendo wa mwanaume haupimwi kwa wepesi wake wa kukutimizia mahitaji yako. Sehemu kubwa mnayokosea kwenye maisha yenu ya kimahusiano ni kukubali mwanaume akulaghai kwa pochi na mali zake na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mke wangu jamani kaniita jina hili baya sana ambalo nalisikiaga kwa watu wa mtaani wanasema na kulitamka, nilitamani nimchabange makofi but Malaika kanishika mkono sina hamu naye, nikamwambia...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Matokeo ya darasa la saba yametoka jana lakini sasahivi hayana msisimko kama zamani nimewiwa kuandika historia yangu ya kupata matokeo ya darasa la saba ilivyokuwa baada ya kuona kaandika comrade...
13 Reactions
39 Replies
7K Views
Mke wangu mtarajiwa ni single mother,ana mtoto mmoja,kwetu ni mkoani Tabora ila wote tunaishi Sumbawanga pamoja na huyo baba wa mtoto wa mtarajiwa wangu,wiki tatu zilizopita mchumba wangu alikuwa...
3 Reactions
95 Replies
10K Views
Wakuu. Mm nimebahatika kuwa na mke ambaye nimezaa nae watoto 3. Nilimuoa kwa ndoa ya gharama mwaka 2005. Ni mke mzuri , ana shape kali , uso unaovutia sana. Shida yangu kwake ni kuwa anapigiwa...
3 Reactions
140 Replies
18K Views
Sio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Maisha ya mwanadamu huwa ni ya kuangaika/kutafuta na baadaye aweze kuburudika.Wengine uweka bajeti kwa kudunduliza kidogo kidogo na hatimaye wanakamilisha furaha yao katika kusherehekea kile...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natamani nitembelee sehem nzuri na zenye vivutio lakini bajet yngu ni ndogo sana kama mil2 na npo mimi wife mtoto,,,kwa mwenye uzoefu wadau wapi ni sehem nzuri
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana JF, Nilipolisikia hili nilicheka mpaka nikazimia, hata sasa hivi ninapoandika bado nacheka maana nimelipata hivi karibuni na nikafanya utafiti mdogo wakanihakikishia, hili hasa limewapata...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Hii clip ilitembea sana miezi kadhaa iliyopita, iliuma sana kuona mchizi analalamikia penzi halafu manzi anamchora tu kwa mashoga zake hadi kufikia hatua kumsambaza kwenye Whatsap Ndo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadada wa JF mna akili za ajabu sana! Yaani kama kuku vile mnaogopa kudonoa na wakati mna njaa. Sasa siku zote hizo nilikuwa natangaza jamani nahitaji mtu namimi....mkanikalia kimya kana kwamba...
6 Reactions
42 Replies
7K Views
Habari wana JF, Leo MMU naomba tujikumbushe matendo, mambo mazuri ambayo mama zetu wametufanyia kwasababu wamama wengi ndo walezi wa watoto na familia. Mimi mama angu hayupo duniani ila mda...
18 Reactions
169 Replies
12K Views
Enzi zileeeeeeeeee Ikifika Mida kama hii umetia vocha yako unaanza kumpigia demu wako apo mpaka Alfajiri Hivi stori gani nzuri za kupiga usiku ili usichoke kuongea na simu Mara moja ???
0 Reactions
43 Replies
39K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 nafikilia kuoa sasa.. Kuna Mwanamke nimejuana nae miezi 7 iliyopita Ni Mwanamke anaenisikiliza na kuniheshimu ,miezi yote niliyo kuwa nae kwenye mahusiano sijaona...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Nyie wa dada wa mie Mnasikia.. 👌 Kuna kitu wanawake wanaita kujishusha, wanasema usipojishusha basi utamkosa mwanaume. Nikweli mara nyingi mwanamke unatakiwa kujishusha lakini wanawake wengi...
1 Reactions
92 Replies
14K Views
Za leo jamani? Miezi kama miwili iliyopita nilikua kwenye mahusiano na mtu flani ambae kwa upande wangu namuona kama mkatili flani hivi. Kisa kilianza siku fulani ilikuwa jmosi kuna issue nilikua...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, Kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa mpenzi wake aliwahi kumuambia (kipindi wanaanza uhusiano) kuwa mpenzi wake a zamani wake alimuambia kuwa kila akiwa naye madili yake yanatiki...
4 Reactions
110 Replies
17K Views
Back
Top Bottom