Mke wangu mrembo ananichanganya akili. Naombeni ushauri ulio rafiki !

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu.

Mm nimebahatika kuwa na mke ambaye nimezaa nae watoto 3. Nilimuoa kwa ndoa ya gharama mwaka 2005. Ni mke mzuri , ana shape kali , uso unaovutia sana.

Shida yangu kwake ni kuwa anapigiwa sana simu na watu tofauti tofauti. Kila nikibadili namba vivyo hivyo. Sasa message za kumtongoza (kumtaka kimapenzi) ndo hazina idadi kabisa.

Namkeep busy kumpa majukumu ya kufuatilia miradi yangu lakini hakuna kitu, vurugu haipungui.

Nifanyeje , nampenda na namkubali sana na tayari tuna watoto wakubwa na miradi kibao.

Pls.
 
Mkuu acha ujinga iv kweli kidume kama wewe umezaa nae watoto 3 ushindwe namna ya kukabiliana nae? Au umehamua kufurahisha genge

Back
Top Bottom