Enzi zileeeeeeeeee
Ikifika Mida kama hii umetia vocha yako unaanza kumpigia demu wako apo mpaka Alfajiri
Hivi stori gani nzuri za kupiga usiku ili usichoke kuongea na simu Mara moja ???
Mimi ni kijana wa miaka 25 nafikilia kuoa sasa.. Kuna Mwanamke nimejuana nae miezi 7 iliyopita
Ni Mwanamke anaenisikiliza na kuniheshimu ,miezi yote niliyo kuwa nae kwenye mahusiano sijaona...
Nyie wa dada wa mie
Mnasikia.. 👌
Kuna kitu wanawake wanaita kujishusha, wanasema usipojishusha basi utamkosa mwanaume. Nikweli mara nyingi mwanamke unatakiwa kujishusha lakini wanawake wengi...
Za leo jamani?
Miezi kama miwili iliyopita nilikua kwenye mahusiano na mtu flani ambae kwa upande wangu namuona kama mkatili flani hivi.
Kisa kilianza siku fulani ilikuwa jmosi kuna issue nilikua...
Habari wanajamvi,
Kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa mpenzi wake aliwahi kumuambia (kipindi wanaanza uhusiano) kuwa mpenzi wake a zamani wake alimuambia kuwa kila akiwa naye madili yake yanatiki...
Mara kadhaa nimekuwa nikileta mada ya kuhusu mama watoto wangu ambae ni Islamic na wazazi wake wamekataa mtoto wao asibadili dini ili tuweza kuwa mume na mke mbele ya MUNGU kwa sababu Mimi ni...
Kuna vitu ambavyo mwanaume au mwanamke haustaili kuvifanya ukiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi
1. Usimsaliti kimapenzi (Don't Cheat)
2. Usimlinganishe na mpenzi wako wa zamani (i.e kifedha...
I hope you're doing well. It's been so long I have not met you. I always want to come home to meet you but I'm afraid what if you will catch me unhappy You always worry about me everyday as I stay...
Siyo kwangu tu nimekutana na kauli za wanaume wengi kutopenda mwanamke wanao:
1. Pakaa make up
2.wenye kucha ndefu hasa za bandia.
3.Kope za bandia
4. Wanao ondoka nyusi za asili alafu kujichora...
1. Mshike kiuno chake
2. Ongea nae
3. Changieni mawazo kwa pamoja, na siri zenu
4. Mpe jaketi lako au mkoti wako wakati upo nae
5. Mpige kiss taratibuuu
6. Mvute taratibu, mkumbatie,mweke...
Nawasalimuni nyote!
Naomba ku declare interest kuwa nimeoa
Baada ya hapo naomba niwakumbushe mambo ya muhimu mabinti wote mnaosaka ndoa
kabla ya kwenda kulia makanisani au kwa waganga tambueni...
Ata kama unampenda kiasi gani jitahidi usimuonyeshe madhaifu yako kwake ambayo atafanya ayatumie kukuumiza ,
Wanawake ni viumbe wa Ajabu sana wanaweza kuamua kuchepuka na JUMA Kwa sababu tu baba...
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi, imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo Msabato, Lutheran etc, kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe...
"Ni swala la Muda tu,, hapa mwanzo mwazo watapendana ila huko mbeleni baada ya miaka kadhaaa utakuja kujionea "
"Pia usitegemee dada zako kumpenda wifi yao"
"Vile vile mkeo naye hatawapenda Wifi...
Nowdays Kumekuwa na nyuzi za wanaume wakilalamika kuwa hawawafikishi wapenzi wao kileleni na wengine wakiuliza namna ya kuwafikisha wapenzi wao kileleni.
Kitu msichokijua ni kwamba wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.