Nina uhusiano na binti mwezi wa pili huu. Awali nilimuuliza kama yupo single akasema ndio sasa juzi ameniambia kuwa ana mume ila walitengana na huyo mwanaume ameenda kwao kuomba msamaha na yeye...
Mchepuko wangu huwa unapenda kutumia maneno haya 'uwe unaacha uroho wewe,kula taratibu...'Akishasema hivyo anasusa kabisa...inakuwa ni wewe unajipimia unavyotaka.Kwa hali hiyo wakuu atakuwa...
Kuwa na bibie mzuri ni sawa na kula chakula kizuri kwa kutumia sahani safi ya udongo inayovutia,na kuwa na bibie wa kawaida ni sawa na kulia chakula kizuri kwenye sahani ya plastiki.Wengi...
Za mwanzo wa weekend wakuu!!!
Maisha ni watu na watu ni maisha.....
Haya tushare pamoja mambo yanayotufanya tufurahie watu wetu wa karibu kabisa tulio nao.....
Tuanze weekend fresh!!!
Binafsi...
Mimi nakumbuka akiitwa Upendo wakati niko form one nilimsindikiza rafiki yangu aende kusex na demu wake gheto la jamaa kufika kule huyo demu kumbe akaja na mwenzake. Wote walikuwa la saba, basi...
Husband wants divorce after wife 'lied' about birth control and got pregnant
Sarah Carty,Yahoo Style UK 18 hours ago
A man claims his wife lied to him about coming off her birth control. Photo...
Mimi sio mwandishi mzuri lakini naomba niende moja kwa moja kwa mada husika. Dhumuni naomba ushauri kwenu wakuu nini cha kufanya.
Mimi nina umri wa miaka 24 (male) nimeanza kazi mwaka huu mwezi...
Wadau habari za asubuhi maana wengine tumeamka na mahangover!
Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna sista mmoja tunapiga nae kazi kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kwenye kampuni binafsi (ya...
Wakuu habari ya leo.
Ni mwaka sasa tangu moyo wangu umemdondokea huyu binti mrembo,cheusi mangara mwenye figa ya kibanyu halisi.
Na nmeona sasa iwe vyema kupanda levo ya juu na kumweka awe mke...
Salaam wanajamvi la JF.
Ukienda kwenye vituo vya rlimu za watoto wadogo, awali, msingi na kuendelea ukapata wasaa wa kuzungumza na watoto au walimu utapata kufahamu kuwa watoto ambao wanaishi au...
Saa 11 alfajiri linapita treni na mihoni kama yote hadi linakuamsha, na yanapigwa kama vile lengo ni kuamsha watu, hii ni sawa? Haya matreni ya daladala yamegeuka kero na kuleta presha na magonjwa...
Wahenga walisema "mpende akupendaye, asiyekupenda achana nae" hivyo mimi ni nani hata nisitii na kufuata hekima za mababu zetu Wa kale?
Nimeandika nyuzi kama tatu hivi, nikiwa na ombi la kupata...
Cheating is sweet and enjoyable......
Tearing apart is bitter and hurting .....
Be ready for the outcomes. Whatever way it comes face it and if you see that you can't handle it better hold...
Habari wapendwa wangu wa jf za siku mbili tatu.
kama ilivyo ada sasa ni hivi jana nilikutana na gf wangu wa zamani tukawa tunapiga stori mbalimbali, tulikuwa tumekoleza kweli kweli nikafikia...
Kila mtu ananicheka kwenye akili yangu,
Uvumi unasambaa kuhusu huyo jamaa mwingine,
Unafanya ulioyafanya wakati ulipofanya na mimi?
Anakupenda kama nilivyokupenda?
Umesahau mipango yote tuliopanga...
FANYA HAYA KWA MUME WAKO.
1. Muite kwa jina lake la utani
2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba.
3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani.
4. Kaa kimya pale anapokuwa na...
Habari wanaMMU.
Hii dunia ina mengi kwelikweli.
Siyo ajabu ukasikia mwanaume kashiriki mapenzi na watu wawili au zaidi ambao ni ndugu wa damu moja mfano Mtu na mdogo au dada yake au mama na...
ukiona mwanamke anasema kwake sexy si kila kitu huyo ana stress za maisha
ndo utakuta alikuwa na jamaa yake maskini anamkataa anaenda kuolewa na tajiri akishaenda kuolewa na tajiri afu tajiri...
dah huyu dogo anaishi ndoto za vijana wengi, yani ameshawagonga wanawake si chini ya elfu moja kuanzia wazee mpaka vijana,vibonge mpaka vimbau mbau,weupe kwa weusi,warefu kwa wafupi.
tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.