SEX IS SWEET
Most downfalls of men are caused by MULTIPLE girlfriends. Sex is a spiritual encounter I stand to be corrected not every girl has a good spirit, some are demon, some have poison in...
To whom it may concern....
Ladies,
if you have a man who only calls you when he is horny, you are single. If every time you and ur man meet you're always having sex, you're a whore. If your...
Mapenzi kwako ni nini?
Je,ni kuishi pamoja, kula pamoja, kuoana, kutoka wote out pamoja, kutembelea ndugu, kuzaliana, kufanya tendo la ndoa, kusaidia watu, kutumiana hela, kupigiana simu...
Nimeona nitumie ukurasa huu kukiri kwamba kuna kaka kazini nimetokea kumpenda sana mpaka yeye mwenyewe amejua na yeye kaanza kunipenda
Ni mdogo kwangu kiumri na mimi ndo nilimpokea kazini...
Nimeona kisulisuli cha mama Rwakatare, ukweli kuna haja sasa wanawake nao waanze kutongoza wanaume, waombe kuoana.
Tatizo kubwa hapa, wadada au wanawake wa kiafrika hawapendi kuwa wazi kuonyesha...
Sex sio mapenzi. Na mapenzi sio sex. Unaweza ukawa unafanya nae sex lakini akawa hana mapenzi na wewe. Kuwa na busara. Mtu anaweza akakuchukia na asikupende lakini akafanya sex na wewe.
Ni...
Alamsiki mabibi na mabwana,
Naomba niwasimulie mtiririko wa mahusiano ya Kasie. Niko safari kikazi na hivo nakuwa na muda mwingi wa kujitafakari.
Naanza na aliye nitoa bikira, huyu alikuwa wa...
Salamuuuu..!!
Inafika muda unajaribu kuhesabu idadi yao unakuta unafika 300+, unaogopaaa unajishangaaa unajisema hawa ni watu etiii, unakumbuka zile takwimu zao kuwa wakiwa 10 basi mmoja wao...
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha...
Kila kada au taaluma huwa wana lugha zao au alama wanazozitumia.Kada moja anapokutana na kada nyingine wanaweza wasielewane kutokana na aina za maneno wanazozitumia.Mfano;-Mtaalamu wa anga akutane...
Nimefuatilia ukitaka uishi maisha ya raha ya ndoa oa mwanamke aliezalishwa na kuumizwa na kuachwa huyu atakua anajua maisha, pia mvumilivu. Ukitaka umloge mchukue na mwanae umlee na umpende...
Habari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
Au nimtoroke?
Wadau mimi ni kijana 27yrs
nnaejitegemea sijaoa ,ila nina watoto wanne (pacha mbili) mama tofauti
Naishi
Kwa mishe za kuunga unga mjini hapa
Kulea familia na mimi mwenyewe
Sina kazi maalum ila...
Mimi juzi tu nilikuwa nyumbani kwa nje jirani kuna duka napiga zangu k-vant, nipo na mafundi ambao wanajenga nyumba moja jirani pia hapo hapo kitaa, sasa akaja dada mmoja jirani yetu kaolewa na...
*Polisi nchini Nigeria wamegundua zaidi ya vijana 70 wakiwa wamefungwa katika shule binafsi ya kiislamu huko kaskazini mwa Nigeria.*
Mamia ya vijana wametoroka katika shule mbalimbali za dini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.