Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,379
- 56,095
Habari wana JF,
Leo MMU naomba tujikumbushe matendo, mambo mazuri ambayo mama zetu wametufanyia kwasababu wamama wengi ndo walezi wa watoto na familia.
Mimi mama angu hayupo duniani ila mda mrefu kidogo, ila tukio kubwa ni kua kuna siku alisusa kula baada ya kuchapwa na mama angu mkubwa kipindi anaumwa.
Lingine alisafiri akakaa muda mrefu nakumbuka kwenye 1999 -hivi siku anarudi sisi tumehama tumehamia kungine, basi akaelekezwa tunapoishi kuna mtu akamleta vile kafika basi akaniita G..kugeuka namuona mama ghafla...yaani alinikumbatia aiseehh sijapata kukumbatiwa kama vile.
Nalikumbuka mpaka Leo lile kumbato.
Ni vidogo ila kwangu vina maana sana.
Wewe wakumbuka nini kwa mama yako mpenzi?