EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,705
Upendo wa mwanaume haupimwi kwa wepesi wake wa kukutimizia mahitaji yako. Sehemu kubwa mnayokosea kwenye maisha yenu ya kimahusiano ni kukubali mwanaume akulaghai kwa pochi na mali zake na kukubali kuuweka kando utu wako.
Nafasi ambayo wanaume wanaitumia kuwafanya vibaya ninyi dada zetu ni pale mnapohisi mnawachuna wanaume kumbe mnajichuna wenyewe. Haiwezekani unampigia simu mwanaume wako akupatie elfu 30,000 kwaajili ya kusuka nywele na unapojibiwa sina kwasasa unakasirika, kwa action hiyo unadhani mwanaume atafikiria nini kwenye ubongo wake? Atakuona wewe ni mwanamke wa aina gani?
Mbaya zaidi mnapokera ni pale umeambiwa utatumiwa badae au kwasasa sina, unaamua na kumtuhumu kabisa kwamba pesa zake anatumia na malaya zake. Kwa mantiki hiyo unadhani na wewe atakuchukuliaje kama si malaya unayetaka kutumia pesa zake na wakati wewe ndiye mwenza wake?
Wacha nikwambie kitu, mwanaume akishagundua kwamba wewe ni mtu wa sampuli hiyo, ndio nafasi yake ya kutumia pesa yake ili kukuchuna vizuri, ili akutumie kwa mgongo wa pesa yake, ili akuoe bila mahari, ili akununu kingono kutokana na tamaa zako na kushindwa kusema na shida zako.
Jaribu kuwa mstaarabu na kutambua utu wako kuliko kitu. Mwanaume akishajua wewe upo kwaajili ya kumchuna, hatokuacha bure, lazima aakikishe amekuachia zawadi ya mimba au maumivu ya usaliti wa wazi wazi.
Dada yangu, kuwa makini katika mahusiano ya kimapenzi na mwanume wako, usijikite katika kutaka kumchuna kwa kigezo cha kukupenda. Wanaume si mwabege kiasi hicho, wakishakusoma lengo lako kubwa ni kumchuna atahakikisha na yeye amekuchuna kisawa sawa. Atakutumia mwisho wa siku atatafuta mwengine wa maisha. Kuwa makini.