Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,051
- 2,105
Za leo jamani?
Miezi kama miwili iliyopita nilikua kwenye mahusiano na mtu flani ambae kwa upande wangu namuona kama mkatili flani hivi.
Kisa kilianza siku fulani ilikuwa jmosi kuna issue nilikua nafuatilia mitaa ya posta na hiyo issue yeye pia alikua anaifahamu coz nilimshirikisha.
Sasa basi siku ya siku nimeamka alfajiri kuwahi usafiri ili nifike mapema na kiukweli nikiri kuwa huwa nina kawaida ya kumsabahi kila asubuh naye huwa ananisabah kila jioni akitoka kazini..
Sasa siku hiyo nikajisahau kumsabahi na mpaka ilivyofika saa 7 mchana hakuna ambae alikua kamcheck mwenzie but thanx kwenye saa 8 hivi akawa kanitext kunisabah ila kutokana na ubize niliokua nao nikashindwa kumjibu on time ingawa text yake niliiona mapema tu.
Nilivorudi home jion ndio nikaona ni muda muafaka wa kumtafuta lakin kila nikipiga simu hapokei wala hajibu texts zangu.
Basi mi nikaona nisimsumbue nikalala zangu..kesho yake asubuh nikampigia akapokea lakini cha ajabu aliniporimoshea matusi ya nguoni..kilichoniuma zaidi akaniita mi mzinzi na akaniambia kuanzia siku hiyo nisithubutu kuipiga namba yake, mi nikamjibu tu nashukuru na nitatekeleza yote aliyiniambia.
Nikafungua ukurasa mpya wa maisha yangu nikaona hakuna umuhimu wa kuwa na mtu yeyote kwa sasa kama mambo yenyewe ndio haya..
Sasa toka juzi huyu mtu ameanza kunisumbua kutaka kurudiana na mimi. Juzi kanitumia text kuwa anaomba msamaha na tuyasahau ya nyuma na turudiane na eti amegundua mi ndo mtu sahihi kwangu.sijamjibu kitu..anapiga simu me sipokei wala simjibu chochote.
Sasa nimeanza kumuona kero kwangu, je wakuu mtu kama huyu kuna haja ya hata kupoteza vocha zangu kumjibu chochote au nimblock mazima?