Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mapinduzi makubwa ya teknolojia yamerahisisha mambo mengi sana. Moja ya taasisi inayopokea chungu na tamu ya kupanuka kwa mawasiliano ni ndoa. Mahusiano ya kimapenzi kupitia mitandao yanakua kasi...
21 Reactions
169 Replies
10K Views
Habari zenu wadau, Hii itakuwa mara yangu ya mwanzo na ya mwisho kuandika hii stori.... kama mnakumbuka niliwaambia hii stori kuhusu kaka wa kitanga shoo yake ilivyokuwa usiku mmoja muendelezo...
1 Reactions
90 Replies
10K Views
Nakumbuka time hizo 1992, nipo Form four Milambo sec (shule ya wanaume, Tabora). Skonga bana tulikuwa tunagawiwa barua siku ya J5, Nje ya mada: hii siku pale Milambo ilikuwa ilikuwa special...
6 Reactions
33 Replies
6K Views
Asee nsiseme sana msoto wa hapa sijui ni mimi peke yangu. Ila watu tunaodate na hawa watoto tunavumilia sana. Kutoka mpaka adanganye napo mara nyingi atakataliwa kutoka, yaani usiombe, anakupa...
2 Reactions
57 Replies
10K Views
Husika na mada tajwa,saidia tafadhali,dini Christian,wote wakiume, Natanguliza shukrani
5 Reactions
60 Replies
12K Views
Habari zenu waheshimiwa, naamini munaendelea vyema kabisa, kuna kibwagizo ambacho kimendelea kukamata vilivyo katika utawala wa mitandao ya kijamii kibwagizo cha " Upepo wa Kisulisuli" kupitia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
. Wanawake wawili walikuwa wakisimulia kilichotokea usiku baada ya waume zao kurejea nyumbani kutoka kazini. Mwanamke 1 Shoga yangu, jana ilikuwa siku mbaya kwangu mume aliporudi kutoka kazini...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Ipo hivi Kuna Dada fulani aliolewa na Jamaa msomi (Engineer) ila uyu dada hakua amesoma. Walikuwa wanaishi vizuri kiasi kwamba mwanaume ameridhika na mkewe. Maisha yalikuwa yakienda vizuri...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Habarini jmn ninamdog wangu anaitaji msaada mweny uwez wakumshik mkono jmn kapga kozi ya jkt kamaliza sasa nafas zimetok za jwtz lakin kama unawakukushik mkono ni mtihan jmn naomb msaidiz aweze...
0 Reactions
4 Replies
761 Views
hello if. kuna kautafiti kasiko rasmi nimekua nakafanya kuhusu wanawake wa kikurya. katika haka kautafiti kangu nimegundua wanawake wa kikurya ni adimu sana kuwapata kimapenzi kama ilivyo...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wakuu, Nimekuwa kwenye uhusiano na binti. Ni takribani mwezi wa nane sasa.Wakuu siwezi kuficha huyu binti ananipenda sana tena sana Amekuwa akinitafuta mara kwa mara hata nikiwa kazini kunijulia...
2 Reactions
94 Replies
10K Views
Mapenzi bwana... Kumbe sio sisi wanaume tu huvutiwa na wanawake, Bali sometime hata wanawake huvutiwa na wanaume. Ingawa Mara nyingi inakuwa ngumu kusema live. Hupenda kutongoza kwa HILA/VITIMBI...
8 Reactions
84 Replies
33K Views
Kumekuwa na vishawishi vingi sana kwa watoto wa kiume kiasi kwamba wakati mwingine huwa ngumu kushinda vishawishi hivyo. ni ukweli usiopingika kuwa hapa mjini dar es salaam mabinti wanajipenda...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni balaa usafiri wa hapa mjini kipindi kama hiki vijana wengi wenye magari ndo msimu wao wa kuvuna. Just joking
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi tujuzane! Binafsi nimejikuta napotezea baadhi ya nyapu kwa kuonekana msumbufu. Imagine mtu umejichanga changa ukampa 20,000 ya matumizi au ya vocha, baada ya siku mbili ukiomba chenga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kwanini wa africa au watanzania hatuna marafiki wakudumu katika maisha? Tuna tofauti kubwa sana na wenzetu wazungu au ngozi nyeupe. Wao kila mtu ukimuona anakuonyesha rafiki yake walitoka...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Habar wanaJF bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mwanamke nilimpenda sana in short wote tulipendana sana lakini tulikuwa mbali mbali miezi mitatu(tulikuwa kwenye...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Katika familia moja huko Ulaya dada mmoja amegundua na ushahidi anao kuthibitisha kuwa baba yake mzazi anatembea na mke wa mjomba wake ameomba ushari face book- AFANYEJE? === Woman asks...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu samahani kwa wale nitakaowakwaza Nimekuwa kwenye ndoa miaka 5 sasa ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa. Aisee napata tabu sana. Sasa hapa...
19 Reactions
522 Replies
48K Views
1. Wanaume ambayo wanaandika threads kujiongelea mambo yao au mambo general. 2. Wanaume ambao hawana matusi hata kunapokuwa na hali ya wao kuchokozwa hunyamaza au kupuuza. 3. Wanapenda kushare...
12 Reactions
69 Replies
5K Views
Back
Top Bottom