GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,518
- 108,793
Kwanini wengi wao utakuta mkienda kulala na mkiwa mnalala nao Kitanda Kimoja utakuwa wanalala vizuri tu lakini pale ukitaka tu 'kumsuuza’ Mama yake haraka sana anaamka na anakuwa mbishi na mkorofi kulala hadi umfinye na umtishetishe kidogo hata kwa Kumtumbulia Macho ndipo anapata Usingizi wa Uwoga lakini ukianza tena Kujiandaa kwa tendo na ile ukitaka tu 'kuchomeka’ utaona wanaamka tena?
Ni Watoto tu wa Kizazi hiki au hata na Sisi pengine tulipokuwa Wachanga nasi tulikuwa hivi na pengine hata zaidi ya hawa wa sasa? Halafu ni kwanini hata kunapotokea Usumbufu utakuta Mama zao wanafurahia na wala hawakupi Ushirikiano wa Kutukuka wa Kuwalazimisha walale ili nanyi muweze Kuendelea na yenu?
Je, hapa huwa wanakuwa Mawakili wa Kujitegemea wa Mama zao au huwa wana Wivu tu labda wanajua unaweza ukasababisha Mama yake akapata Mimba nyingine ya haraka halafu na Yeye akawa hathaminiwi tena na akabaki mpweke tu?
Nitashukuru kwa majibu yenu hasa yakija kwa uwingi sasa hivi kabla ya Saa 6 Kamili Usiku huu ambapo nitakuwa naelekea Kitandani kwa kutoka hapa ( Log Out ) ikizingatiwa kwamba kameshalala hivi punde ila najua baadae nikitaka Kuianza ' Shughuli ' kataamka yaani utafikiri kanatumwa au labda Mama yake huwa anakaamsha kwa Makusudi.
Kuna muda huwa natamani hata nikapige tu ' Kwenzi ' ila huwa namuogopa Maulana / Mola wangu juu ya ' Malaika ' wake.