20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Habari wanabodi,
Hapa kuna taarifa napewa na mtu wa karibu kabisa. Kwa mtazamo wangu naona jamaa bundi kalala kwake. Nadhani hakuna aliemkamilifu kwa namna moja ama nyingine, kila mtu ana mapungufu yake na mzigo wake. Wengine wao ni wezi, wambea wachonganishi n.k. Sasa hapa kuna mwana yeye mzigo wake ni sex, hatumii pombe sio mwongo yani yeye ni sex, anapenda michezo ya 6 kwa 6, 5 kwa 6 n.k Hii michezo imekuwa na wadau wengi si yeye tu. Sasa twende kwenye mada.
Jamaa aliwahi zaa na mke senior wake, ikapelekea utata mkubwa sana, hadi kushauriwa kukimbia ardhi ya TZ kidogo ili mambo yapoe, hiyo sio ishu kwa sasa , ishu baada ya kurudi alihapa kutokula mzigo hadi atulie kabisa. Kweli NEVER SAY NEVER jamaa akawa anatawanya wasichana wanne kwa nyakati tofauti tofauti bila wao kujijua, sasa kilichotokea mabinti watatu kati ya hao kwa sasa wote wameshika mimba. Kuna mwenye wiki mbili, wiki moja, wiki mbili.
Jamaa kadata hasa, kaja kaniomba ushauri jinsi ya kuhandle hiii hali. Nineona jamboo gumu sana kutafuta maneno murua ya kumweleza na akapata solution. Ambacho ana waza hata sasa ni kupangua mimba zote ( abort ). Ananiuliza how to aproach hiii kitu, kama una suluhu juu ya hili, au una namna nyingine ya kusolve leta mawazo yako.
NB:
Hii ni sensitive ishu sio story