Msaada wadau nakosa mtoto wangu hivi hivi

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,648
Habari ndugu zanguni,

Nisiende mbali mwaka juzi kuna mdada nilifanikiwa kuanzisha nae uhusiano,ni raia mwenye mchanganyiko wa Marekani na Mexico. Nilimpata baada ya vijishughuli fulani hivi nlikuwa nafanya pale ubalozi wa marekani. Katika kuishi kwetu kama wapenzi alinambia kuwa anahitaji kuzaa na mimi tu lakini hataki kuolewa na hata kama ni gharama za kumpa mimba anaweza kunilipa.Tulikuwa ni watu wa matani mwenzangu kuna siku nipo zangu kwangu akaja na makaratasi ya mkataba na bro wake ambae ni mwanasheria mie skuchukulia serious kivile basi nikasaini then sikutaka hata kopi ya karatasi hizo.Ila kwenye mkataba kuna kipengele kilichonambia endapo atapata mtoto kupitia mimi je nimpe gharama kiasi gani mie nikaandika 10m.

Sasa mwaka jana mwishoni mwishoni mtoto akanasa ujauzito,nilijitahidi kama baba kumtoa matumizi madogo madogo japo mengi alikuwa anayatoa mwenyewe sababu alikuwa anajimudu,bahati mwaka huu amejifungua katoto kazuri mno copyright na mimi kazuri mno kakiume.

Mwezi mmoja baada ya kujifungua ndo akanitolea ule mkataba na kunambia jerry nashkuru mtoto umenipatia kiasi chako cha fedha ni hiki hivyo mwanangu ni mwanang peke yangu.

Nilijua ni utani but mpka now imeshatokea mgogoro tayari kwani naona mwenzangu yupo serious na habari za chini chini ni kwamba next week mtoto anaweza kwenda USA kwa bibi na babu yake
wadau msaada hapo hata wakisheria maana nahisi kudata sihitaji hela nataka mwanangu
 
habari ndugu zanguni,
Nisiende mbali mwaka juzi kuna mdada nilifanikiwa kuanzisha nae uhusiano,ni raia mwenye mchanganyiko wa Marekani na Mexico.Nilimpata baada ya vijishughuli flani hivi nlikuwa nafanya pale ubalozi wa marekani.Katika kuishi kwetu kama wapenzi alinambia kuwa anahitaji kuzaa na mimi tu lakini hataki kuolewa na hata kama ni gharama za kumpa mimba anaweza kunilipa.Tulikuwa ni watu wa matani mwenzangu kuna siku nipo zangu kwangu akaja na makaratasi ya mkataba na bro wake ambae ni mwanasheria mie skuchukulia serious kivile basi nikasaini then sikutaka hata kopi ya karatasi hizo.Ila kwenye mkataba kuna kipengele kilichonambia endapo atapata mtoto kupitia mimi je nimpe gharama kiasi gani mie nikaandika 10m.

Sasa mwaka jana mwishoni mwishoni mtoto akanasa ujauzito,nilijitahidi kama baba kumtoa matumizi madogo madogo japo mengi alikuwa anayatoa mwenyewe sababu alikuwa anajimudu,bahati mwaka huu amejifungua katoto kazuri mno copyright na mimi kazuri mno kakiume.
mwezi mmoja baada ya kujifungua ndo akanitolea ule mkataba na kunambia jerry nashkuru mtoto umenipatia kiasi chako cha fedha ni hiki hivyo mwanangu ni mwanang peke yangu.
Nilijua ni utani but mpka now imeshatokea mgogoro tayari kwani naona mwenzangu yupo serious na habari za chini chini ni kwamba next week mtoto anaweza kwenda USA kwa bibi na babu yake
wadau msaada hapo hata wakisheria maana nahisi kudata sihitaji hela nataka mwanangu
Masihara mengi ona sasa umepoteza mtoto
Usingesaini ujinga wake huo aliouleta
 
Unakumbuka kisa cha Yakobo na Essau?

Unasemaje kwamba unatapeliwa wakati ulisign mkataba mkuu?

Haukuwahi kabisa kusoma habari za mababu zetu wakiingia mikataba na akina Carl Peters?

Mie sio mtaalam sana wa sheria ila hapo sheria inakufunga na sielewi mkataba ulisema wanafuata sheria za nchi gani.

Tumia diplomasia zaidi kuliko mabavu.
 
Uhalali wa Mtoto sio umbali ila ni damu ni kweli utamiss kumuona akiwa anakuwa ila haitaondoa uhalali wa kuwa baba yake hivyo siku moja lazima aje tu
ni bora angekuwa wa koromije ningekuwa naenda kumuona but akienda bara lingine kumuona ni majaliwa
 
Uhalali wa Mtoto sio umbali ila ni damu ni kweli utamiss kumuona akiwa anakuwa ila haitaondoa uhalali wa kuwa baba yake hivyo siku moja lazima aje tu
kumbka haendi tanga wala Arusha mkuu bali bara lngine kabisa
 
Back
Top Bottom