Mrejesho; Mpenzi yupo 'busy' siku zote

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,631
Iam sorry to everyone and any one offended by my post.

Najua mmepanic sababu nimesema nimesema yupo humu JF lakini ningekuwa kisa cha muhusika asiejulikana na hayupo JF najua msingepanic hivyo.

Nasema hili sababu najua JF for more than five years na nasoma sana visa humu lakini changu kimeonekana utoto sababu juu nilikuwa naelekea kum-expose member humu.Kubalini kataeni huo ndo ukweli.


To be honest iam very kind and this makes me too too weak to handle pain.
What I did was wrong.I apologize to everyone offended by my words.
Iam not childish but iam weak.weak to handle pain and cheating.

Nsameheni nyote.
Bila naomba mkumbuke tu nchi ina uhaba wa condom tumieni hata Rambo kwa faida yenu.

Nawapenda
 
In 24 hours?

Sema ulifungua thread ya kwanza ukiwa umesha andaa na mrejesho.

Na for the fact kwamba najua unayemkusudia ni nani, Aggy, I advise you kushukuru kwa chochote mtu huyo alichokufanyia, kuwa na moyo wa shukrani.

This is too bad, and too unthankful.

Mungu unayesema amekuona, unamdhihaki. You put too much expectations into this.

Crap.
You never know with women...

You never know with JF members...

Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom