Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
4,219
3,839
Habari wanajanvi?

Bila shaka wengne mmelela lakn mkiamka mtaukuta huu uzi.

Hii mada inahusu wale ambao hujifanya wanajua ku-care pale umeanza mahusiano na she, then wewe ndio kila siku unapiga simu nakuanza kujibebisha mara i love u, mara i mic u, alafu mpenzi wako anajibu asante.

Mara wewe ndo wa kutuma meseji yeye hakuanzi aisee ukiona hvyo minya mbio hupendwi babaaa.

Kanuni za mabaharia nikuminya mbio sio kujikaza kisabuni nakuendelea kujibebisha.
 
Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.

By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe

Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?

Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
 
swali zito hili
 
Sio kweli, umeongea kinyume. Wanawake ndio wanaonekana wana jukumu la kulinda mahusiano na hata ndoa, ndio maana kila mahali utaona wanawake wanafundwa namna ya kumtunza mume sijawahi kuona wanaume wanafundwa kumtunza mke
 
Mwanzo umefafanua vyema.

Habari wanajanvi? Bila shaka wengne mmelela lakn mkiamka mtaukuta huu uzi.
Hii maada inahusu wale ambao hujifanya wanajua ku care pale umeanza mahusiano na she, then ww ndio kila siku unapiga sim nakuanza kujibebisha mara i love u, mara i mic u, alafu mpenz wako anajibu asante.
Mara ww ndo wa kutuma meseji yeye hakuanzi aisee ukiona hvyo minya mbio hupendwi babaaa.
Kanuni za mabaharia nikuminya mbio sio kujikaza kisabuni nakuendelea kujibebisha.
Mimi binafsi nimekuelewa sana
 
Sio kweli, umeongea kinyume. Wanawake ndio wanaonekana wana jukumu la kulinda mahusiano na hata ndoa, ndio maana kila mahali utaona wanawake wanafundwa namna ya kumtunza mume sijawahi kuona wanaume wanafundwa kumtunza mke
Mkuu..nimeongea uhalisia kabisa kama msema mada alichokisema.
Wanaume tunajituma sana kulinda mahusiano kutokana na ukwel kwamba wanawake mnajiona hamna cha kupoteza....mnaamin hata mkiachana mtampata bora zaid tofauti na sisi tunatumia hela,muda na kujituma kuwa karibu zaidi ili kulinda mahusiano

Ndo mana nimeuliza kitu gani mnafanyaga ili kulinda mahusiano?
Kwa wanaume vinajulikana.
 
Sio kweli, umeongea kinyume. Wanawake ndio wanaonekana wana jukumu la kulinda mahusiano na hata ndoa, ndio maana kila mahali utaona wanawake wanafundwa namna ya kumtunza mume sijawahi kuona wanaume wanafundwa kumtunza mke
Nyinyi huwa mnakuja kulinda mahusiano baada ya sisi kuchoka.
 
Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.

By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe

Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?

Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Si kweli,,
 
Back
Top Bottom