Lugha ya mapenzi

Chapa Isimame

Member
Aug 15, 2018
78
86
Habari za wakati huu, ni wikendi tulivu inayosindikizwa na manyunyu ya mvua tokea viunga vya hapa Kigamboni-Kibada.

Moja kwa moja niende kwenye mada, nimekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa mwaka na nusu and we're sexually active kwa wakati wote huo!

Kwangu ni mahusiano ya kwanza katika maisha yangu so kuna vitu nakuwa sina ufahamu navyo naishia kuongea naye kama mshikaji tunaepanga mipango ya maisha tu.

Sasa baby kaishiwa ustahmilivu kanifungukia kuwa "tuwe tunaongea lugha ya kimapenzi" but nimeishia kusema ndio ila sijui ni nini na ina maanisha nini.

Wakuu wenye uelewa naombeni msaada kuelimishwa juu ya hili kwa experience zenu huko kwenye mahusiano yenu.
 
Subiri waje mkuu...ila unaeza ongezea na hizi

Majina mazuri mazuri.
Vizawadi vidogovidogo vya kushtukiza.
Tumia muda mwingi na yeye.
Onesha kutaka kujua zaidi kuhusu yeye.
Mpe attention ukiwa naye.
Text au call za kutosha asubuhi,mchana na jioni.
Mtoe out pale inapowezekana.
Sio kila siku sex kwenye kitanda uwe mbunifu pia.
Usiwe mtu unayetabirika.

NB:fanya kazi tafuta hela kwanza kwa sababu mambo mengi kwenye mahusiano yahahitaji pesa na muda.

Hakuna binadamu anayeridhika hata umfanyie kitu gani.
 
Subiri waje mkuu...ila unaeza ongezea na hizi

Majina mazuri mazuri.
Vizawadi vidogovidogo vya kushtukiza.
Tumia muda mwingi na yeye.
Onesha kutaka kujua zaidi kuhusu yeye.
Mpe attention ukiwa naye.
Text au call za kutosha asubuhi,mchana na jioni.
Mtoe out pale inapowezekana.
Sio kila siku sex kwenye kitanda uwe mbunifu pia.
Usiwe mtu unayetabirika.

NB:fanya kazi tafuta hela kwanza kwa sababu mambo mengi kwenye mahusiano yahahitaji pesa na muda.

Hakuna binadamu anayeridhika hata umfanyie kitu gani.
Last paragraph ina ujumbe mzito mkuu
 
Msifiesifie alivyoumbika,alivyomtamu faraghani nk,mwambie msipoonana siku kadhaa lazima umuote,mwambie unampenda saaana kamwe usingependa mwachane,mwambie tangu uanze naye mahusiano unahisi umezaliwa upya umekuwa mwenye furaha na amani tofauti kabisa na siku za nyuma kabla ya mahusiano yenu,usisahau kumwambia utamsomesha ila akizingua baada ya kumaliza masomo kitakachofuata Siri yako
 
lugha ya mapenz ni kuzungumza na hisia za mwenza wako kwa vitendo....

hapa unafanya ubunifu wa kumshow love kwa vtendo nje ya faragha, mfano unaweza mtumia txt nzur or suprise or kumtamkia maneno mazuri ukiongea nae
 
Back
Top Bottom