super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
Daaah! hili gonjws jamani la UKIMWI linatisha sana kwanza linatisha zaidi pindi unapoenda kupima.
Madaktari huwa wanazingua sana na maswali yao kiasi kwamba yanamfanya mtu mpaka anakata tamaa ya kuendelea kupima huo ugonjwa aisee..
Unakuta daktari anakuuliza kijana umejifikiria nini kuja kupima UKIMWI. Daah swali linakera kweli yaani mwingine anakuambia hivi huwa unatumia kinga au hutumii na kama hutumii mwenzako huwa unamuamini kwa kiwango gani?
Akimaliza hapo anakuambia ikitokea umekutwa wewe ni muathirika utachukua hatua gani? Daaah haya maswali huwa yanachosha sana.
Binafsi sijawahi kwenda kupima ila najua haya maswali yapo na mengine ambayo yapo tunaweza kushare hapa kwa wale wazoefu wa kwenda kupima. Yaani siku nikienda kupima UKIMWI huyo daktari atapata tabu sana maana majibu atakayopewa nikirudi tena baada ya miezi mitatu harudii tena.
Ny the way vijana tujitahidi kupima UKIMWI ili tuwe safe na wapenzi wetu. Na raha ya tendo mchezo ufanyike kavu kavu yaani unasikia utamu hadi kwenye ubongo.
Sema huu ugonjwa siku utakapojijua umeukwaa ndo hapo hapo magonjwa mengine yanaanza kukuandamaa.
Hivi ukiwa umeathirika inakatazwa hadi kusex hata kama utavaa mpira jamani nauliza tu? Na je mfano ndo mmeathirika wote na mpenzi wako kuna madhara gani yanaweza kutokea endapo mtaendelea kufanya tendo bila kinga?
Ahsanteni.