Usipende kukuza madogo yakawa makubwa na jitahidi kuwa plosive (chanya) kama unataka ufike mbali kimahusiano na uwe na amani na mahusiano hayo
Plosive..!![emoji848]
Moja ya comment bora kuiona toka nijiunge humuIsitoshe mwanamke huwezi mtimizia vyote,
Wewe kama unampendezesha, sawa ni vizuri.
Yupo mwingine hajui hata bei ya wigi, ila wakifika uwanjani anampendezesha kwa aina yake.
utaozea jela uache watoto wakali kitaaNaona wapenzi wakigogo mmehama huko mmekuja nahuku kutuletea fujo zenu.
Asuke hata nywele zalaki mbili ila asije jidai kuniacha kama anajua nilishawahi kumlipia ada hata semista moja ujue [emoji379][emoji379][emoji379][emoji380][emoji380] vitamuhusu
hhhhhhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣 VOL....MAXwewe mtoa mada ni boya (nenda kaishi kwenye maji)
Hivi si ndio nyie ambao mkiombwa hela za kusuka na wanawake zenu mnasema mnapigwa vibomu???
sasa waacheni wanaohonga wawahonge wake / wanawake zenu.... Kwahiyo demu wako akija amependezeshwa we vunga tuu mzee.
Shwain
Teh tehhhhhhhhhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] VOL....MAX
Jamaa ni critical thinker 😃!!! Huwa napenda watu wanaofikiri kwa mapana ambao wanaweza kuangalia positivity katika mambo mbali mbali yatokeayo katika jamii badala ya kwenda na upepo.Moja ya comment bora kuiona toka nijiunge humu
Hapo sawa hakika umenena hawa wanaotumia pesa sana kama silaha ndo wazaifu
Nakubali kamanda, ndio maana hata wazungu walitambua nguvu ya "specialization and division of labour"Isitoshe mwanamke huwezi mtimizia vyote,
Wewe kama unampendezesha, sawa ni vizuri.
Yupo mwingine hajui hata bei ya wigi, ila wakifika uwanjani anampendezesha kwa aina yake.
Hahahah asilimia kubwa ya wanawake kutumia hela zao hawapendagi hata kama wana kazi. So lazma wawe na mtu wa kuwapa hela ya kufanya matumizi yao.Kwahiyo mkuu unamaanisha wadada hatuna other sources of income mpaka tupewe na nyie? come on man, kwani huko ofisini kwenu hamna wadada ,unadhani hawalipwi wanafanya kazi ya kanisa ama? Sasa hizo pesa ndyo wanatumia kupata mahitaji yao,ikiwemo kusuka hizo nywele[emoji3] [emoji3]